[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wala nia yangu si kujua aina ya simu za watu... Nimeona tu enjoy... Kwan mm yangu inafahamika?
Bila shaka unabetMine
Clash of Clans upo town hall ya ngapi?
Vipi upo kwenye active clan?Townhall 9 Level 89 mkuu. Sema nimepunguza sana kuicheza, huku mbele inazidi kuwa ngumu ku loot(opponents are tough). Inanipa uvivu maana sina muda na majukumu ni mengi[emoji28]
Asee hii hapana
Live long TECNOHahaha naziona techno hapo