How your home screen looklike

Telegram inafanya nini ? naomba tujuzane
1. Una uwezo wa kutumia account moja kwenye device tofauti mf. simu na PC

2. Ukijoin kwenye group hata leo lakini group likiwa limeundwa mwaka 2015, post zote utazikuta tangu group liundwe

3. Ni rahisi kwa kushare docx tofauti tofauti( soft copy) na ukiifuta hiyo docx unauwezo wa kuja kuidownload tena ukiihitaji

4. Ina uwezo wa kutengeneza Supergroups ambacho member wanakuwa wengi sana tofauti na WhatsApp ambao ina limit ya member 250 tu.

Hizi ni baadhi ya sifa za telegram
 
Pia unaweza kutengeneza group ambalo members ni unlimited hata dunia nzima wanajiunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…