jamaani!
natamani niwe na ratiba nyingine zaidi ya hii ya kuandaa report ya kazi niliyokuwa nafanya wiki mbili hizi!
sijui nitamaliza mapema maskini,japo niende kubarizi beach tu!lol
pole ishakula pande yako hiyo...ila unaweza tafuta movies kadhaa kurefresh
walking. Until am healed completely
mmmmh!!ukipotelea huko usirudi ofcn na kazi ndo inakuwa imepotea!!!Nikiwa na kazi inauohitaji kuumiza kichwa sana, nyumbani nafanya kazi vizuri bila distractions kama ofisini.
Utaswim ukiwa umeva bikini tu?
how old is your son?
ni swimming pool au lake?
nilipo huku movie kali ni za rambo na shezniga!LOL
nimesahahu na govinda au van dame!
mmmmh!!ukipotelea huko usirudi ofcn na kazi ndo inakuwa imepotea!!!
hizo hizzo tu zafaa maadamu tu zatuliza akili...
mie jioni leo ntaanza na
ngwasuma,wako huku kask!ntarud hom very late,so i wil wake late
too!!nkiamka then zamu yangu kucheza na kababy kangu,afu minor hom
repair na mazingira,shambani(liko jirani) then usiku najipombeshea
hom!!nikilala nikiamuka j2 church!!kote huko wife yupo ila kungwasumika
no,bado mzazi!hiyo ni kwaufupi sanaaaaaaaaaaa
tutakutana....unitafute....tungwasumike...
Natamani kulewa, lol!
AH MI MAGUVU GUVU NA MAMISULI !UNAFIKIRI NATAKA!?ah wapi wish like nipate mp3 ya nyimbo za michael bolton tu!nisikilize mwanzo mwisho! BAK hebu do ze nidful!
japo nipatia ka wimbo ka moja ka dream husky voice wangu!lol
mwalimu wetu alienda na matokeo ya mtihani home kwake!bahati mbaya nyumba ikaungua usiku,na matokeo yetu hatukuyapata hadi leo!Ni laptop tu, kazi yenyewe ni kuandaa annual work plan; sohusiki na mavoucher wala nini. Mimi ni technical person so vitu vipo kwenye soft copies na kwenye brain tu!
mwalimu wetu alienda na matokeo ya mtihani home kwake!bahati mbaya nyumba ikaungua usiku,na matokeo yetu hatukuyapata hadi leo!
tutakutana....unitafute....tungwasumike...
pole,itumikie nchi yako!!!ila pata muda wa kufanya mambo ya home hizo kazi zipo tu!!anyway natamani nije kukuona unavyo ogelea!!sijui unaongelea ziwa gani,kama ni nyasa siji,huko lolote la weza tokea katika kipindi hiki!!!Ni accident, sasa tunapewa laptop ili tuzidi kuwatumikia wakoloni; maana ukipiga hesabu ni over 200hrs a month badala ya 160.
fabinyo usinichekeshe. Ama labda sijaelewa. Home repairs na shambani utaenda na mai waifu wako ila ngwasuma haendi?