How website are seized by goverment? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How website are seized by goverment?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Feb 13, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wataalam

  Nina maswali na mjadala unahitaji maelezo ya kitaalam ili tuelimishane

  kabla sijaenda mbali tembelea site hii This domain name has been seized by ICE - Homeland Security Investigations

  Hapo unakutana na ujumbe wa Homelad security ya USA kuwa imeifunga hiyo website kutokana na sababu fulani fulani

  Kifupi hiyo site imeshapata domain nyingine na unaweza kuipata hapa ATDHE.Net - Watch Free Live Sports TV

  Sasa maswali na mambo nayopenda kujua.

  1. Kwa serikali ya US kufunga site wanafanya nini

  • Wanawaamrisha wenye webserver waifute

  • Wanawasiliana na watu wenye domain name eg. .net na kuwaambia waifute site husika
  • Serikali au idara husika ya ya US ina vifaa vya kufuta au kufunga website bila kuwamrisha web server na domain hosting companies.
  2. Hapa jamaaa wa US wamefuta website lakini wameacha tangazo lao. Does it mean watakuwa wanalipia lile tangazo na ile domain name ?

  3. Nataka kujua specificaly kwa Tanzania taratibu za serikali inazochukua mpaka kufikia website fulani kufungwa

  • Ni nani au ofisi gani yenye jukumu na madaraka ya kufunga au kuomba website fulani ifungwe hata kama haiko tanzania

  • Ni ofisi gani na kitengo gani hasa tanzania inahusika kumonitor mambo ya Tovuti.

  • Ni process gani ofisi hii inatumia kama kuna ulazima wa kufunga tovuti fulani
  Nawasilisha
   
 2. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  The number of wired individuals nowadays has been increasing daily and majority of the people are relying mostly on the internet for their daily activities. "If you can have it online, why bother to go out?" – it has been there most popular statement. Sports enthusiasts are also resorting to online live streams of their favorite major sport events if they can't make it live to the venue.

  Sounds very high end and convenient but these sites are using copyrighted sporting events. According to the law of many countries, it is illegal. That's why, the US government has taken action and just seized ten (10) of the most popular sports streaming websites. According to the US government's complaint, each of the seized sites aggregated illegal, pirated broadcasts, and provided links to site visitors. That is fine with me. The most thing which annoys me is when a government blocks a website because it is being used by people to express their views or campaign against the government malpractices. We saw this in Tunisia and Egypt.

  Now let me go to your main question on how website are seized by government. A visit to the blacklisted websites like This domain name has been seized by ICE - Homeland Security Investigations now results in the ominous looking message from the US Homeland Security. While the graphic is pretty scary, Market Ticker's Karl Denninger points out the websites themselves and the servers they run on have not actually been seized, just the domains.

  He says: "That's a lot of staff attorney time and trouble to get a big fat nothing out of it, which is exactly what they get going down this road. Why? Because all they can do is redirect the domain pointers which will do exactly nothing when the sites re-register under a top-level domain not under the US Government's jurisdiction – and there are lots of them."

  Domains under US jurisdiction currently include anything controlled by Verisign which puts .com site owners in a legal relationship with the United States. According to Denninger, all afflicted site owners need to do is move to a non-US controlled top level domain in order to dodge further ICE seizures. Some have already started to migrate to other domains, though it's likely choices like .net won't be any safer. Torrent-Finder owner Waleed Gad El Kareem said he switched his site over to Torrent-Finder.info the moment he saw the ICE message on Torrent-Finder.com, posting the new site's address on Twitter. However, most focus is on websites that are claimed to violate copyrights.

  How about other website such as facebook, twitter or YouTube?. These cannot be seized by a government except may be the US government. However, they can be blocked by government to be accessible in their jurisdictions. Some authorities often block specific websites and blogs considered critical of their regime. For exzample, the governmnet of Swazland has blocked pudemo.org - Home which is the website of the People's United Democratic Movement (PUDEMO), a political movement committed to the creation, protection and promotion of a constitutional multi-party democracy, a transparent and accountable government, an environment conducive to the economic growth and empowerment and the development of a culturally vibrant and tolerant society, based on maximum participation and the respect of the will of the people.

  If they cannot block a site, they can setup a massive 'community management' team to do some police on the site, to monitor conversations, filter specific pages, and block some specific functions like video uploading, etc. They can also hack or do phising attack to steal passwords.

  A site can be blocked using your internet service provider (ISP). Or they can use OpenDNS, a company that provides free DNS servers rather than using the internet service provider (ISP). One feature of OpenDNS is the ability to block domains or category of domains. The second requirement to restricting website access is to use their web proxy.
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  EMT

  Thanks you but jenga utamaduni wa aknowledge source ya vipande vya article za watu ulizochukua.
  Baadhi ya mambo uliyondika nilishayaona kwenye google kabla ya kuja kuleta hii mada hapa
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Serikali ya TZ haiwezi kufunga website unless website hiyo iko hosted na server za TZ na domain yake ni ya tz. Sidhani kama kuna taratibu zozote formal, inli mradi wakubwa waseme.
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kazi kweli kweli
  So katika serikali ina maana hakuna department yeyote au au hakuna agency yeyoye ambaye responsibilitie yake ni kumonitor Internet.

  Does anyone know
  Hivi Tanzania kuna approximation ya ISP wangapi?
  Na serikali ya tanzania ikataka watanzania tuspitae internet kabisa inafanya nini? is there a single centralised system au ndo wanawaagiza ISP.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Marekani hakuna agency ambayo responsibility yake ni kumonitor internet as such, hawa jamaa walikuwa wanaviolate copyright laws kwa hiyo sheria za kawaida zinaaply. Ila ndo hivyo wametake down domain lakini website nadhani haipo marekani, so ni kiasi cha jamaa kununua domain mpya na kuidirect kwenye website yao.

  Sidhani kama kuna centralised system kwa sababu baadhi ya ISPs wanaoperate satelite uplink zao wenyewe. Lakini hata Egypt hakukuwa na centralised system, ISPs waliambiwa wazime tu, simple as that.
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ok lakini sidhani kama ni kweli hakuna chombo cha kumonitor internet uko USna ulaya . labda tuseme havijulikani tu . Hawa watu sababu wanjifanya ni ma advocate wa freedom of information and speech hawawezi kuweka wazi vyombo kama hivi. Vipo behind the scene .

  Sema havi deal na issue kama za piracy ambazo kwao sio nyeti au critical but vimeweka macho, masikio kwenye mambo ya fulani fulani

  lazima kuna vyombo viwe ni vya kiraia au kipelezi, kibiashra vinafanya analysis ya internet traffic.

  Mfano

  • kuna vi website zina vina picha ya kumakshifu Obama ambaye kwa sasa ni president. lazima kuna tasisisi ipo ina analyse kama website hizi zingekuwa na trafic kubwa kwa USA basi lazima wahusika wafanya mambo kuzifunga. lakini hawachukui hatua sababu ni website zenye impact ndogo. yahoo au youtube wikiweka kitu cha ajabu na serious sana within few hours watajibu au wataomba kifutwe.

  • Tanzania nakumbuka enzi ya zeutamu ilichukua karibu 6 working days kifunga site iliyomkejeli rais. Na site hii ilikuwa ni among top 5 visted site na watanzania
  So nadhani kuna umuhimu na kunatakiwa kuwe na chombo ka kukusanya data za matumzi ya internet iwe ni kwa nia nzuri au mbaya thats is anoter case.
   
 8. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,056
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Kumbuka wamarekani wanalindwa na First Amendment (Free of speech) kwahiyo si rahisi kufunga hizo tovuti hata kama zinamkashifu Rais.

  Zeutam ilikuwa inamilikiwa na Google (blogger) kwahiyo ilikuwa ni ishu ya ukiukwaji wa makubaliano ya google (term of use). Blog yeyote inayokuwa hosted na Google (blooger) ni rahisi kuifunga kama utapeleka malalamiko kwao. Mfano kama itarihirika kuwa iaweka picha za ngono za watoto.
   
 9. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,056
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280

  Unapo register domain yeyote lazima ukubali masharti ya ICANN ambao wanamakubaliano na US Government. Mojawapo ya haya masharti ni kuhakikisha mmiliki wa hiyo domain anaweka anwani yake pamoja na simu.

  Kama atabadilisha anwani nilazina abadilishe hizo taarifa yaani anwani na simu. Ikumbukwe kuwa ICANN ndiyo wanahusika kuoanisha vitu kama ip, adress ya mmiliki na majina ya servers (nameserver).

  Kama kitengo fulani kitalalamika mfano mambo ya hati miliki na ikithibitishwa kwamba nikweli makubaliano yamekiukwa basi wanachokifanya ni kuondoa ile ndoa ya ip na nameserver.

  Hii haitaondo uwezo wa kuitembelea ile tovuti kwa kutumia direct access (yaani ip) ila itakubidi kuijua ilie ip. Ndiyo maana ukienda wikileaks.org haipatikani kwasababu ICANN wameondoa ile ndoa ya ip (213.251.145.96) na wikileaks.org. Ila kama utakwenda moja kwa moja 213.251.145.96 utaipata.
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  ZeUtamu haikufungwa na serikali ya TZ wala na Google haikuwa inaviolate terms zozote za Blogger, Zeutamu ilikuwa blocked na ISPs wa TZ lakini ilikuwa ni rahisi kuiona kutumia proxy etc. Mwishoni akaifunga mwenyewe.
   
Loading...