kwamba Mbunge wa arusha amemkashfu w/mkuu au laa, watanzania ndo tunajua. lolote watakalo amua ni mbinu za ccm hilo tunafahamu. ninani hasa aliyeua raia arusha sisi tulioumia kwa yale mauaji ndo tunajua nani anahusika.
Watanzania maamuzi yetu sahihi na yenye kuangalia baadaye ni ya muhimu, tuwe makini kwani shati, Tshirt, kofia na Khanga tayari zimechakaa.