How to use JamiiForums effectively

How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Hoja yangu ni hii!! Hivi tatizo la Umeme limekuja kama ajali au serekali ilikuwa inalijua?
 
wakuu huyu jamaa kuamua kuita kikao cha chama ikulu ni halali kweli? why not Dodomd kwenye ngome yo? ni pesa ya chama au pese ya serikali iliyotumika? Hii ni sawa au?
 
Msaada JF
Naomba munielekeze jinsi ya kudownload movie,nimejalibu nimeshindwa.
 
Ni wazi kagoda inatisha ni vyema sasa watanzania tukawa majasili wakusimamia mali zetu za kitaifa
 

hello!!am a new member here in jamiiforum i wanna thank yu 4 welcoming me but i need to get more frendz!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom