How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
aksante kwa maelekezo na nimekaribia jamvini nitajitahidi kuloga ila sintofuga kamwe!
 
Khabari zenu banaaaa? Ni member mpya, i realy nid ya help on hw 2 comment and post ma views.
 
Let us be constructive and educate the public on what is to be done. Vijana Nchi yenu hii
 
Jamani nimeshindwa kuweka picha yangu kwenye jina langu
Mkuu naomba usome haya maelekezo vizuri ukishindwa naomba tuwasiliane
 
<br />
<br />
 
nashukuru jf nahisi ule msongo wa mawazo uliokuwa unakaribia kunipa heart attack nimeutua,kwani nitaweza kuyatoa yale yote yaliyokuwa yameganda kwenye blood circulation yangu......
 
Value is value if only is valued.I do value all who are postg their sound ideas to jamii forum
 
Hitimisho la bajet limeisha,je yaliyojadiliwa kwa umakin,yatatekelezwa?Jaman wabunge mkumbuke kuwa nyie ni watanzania mmezaliwa na na wakulima wa nchi hii,ebu fanyen maamuz magumu
 
habari za saa hizi kwa watu wote.kwa mara ya kwanza wanajamii wenzangu nikaribisheni
 
me nahitaji ku upload profile picture,nifanyeje mods? Kila nikijaribu inakataa 'this is not a valid image for avatar'
 
A wife was critically ill in the ICU and the doctor was worried on how to inform the husband that his wife had a few days to live.After a long friendly conversation and consolations the doctor finally informed the husband that his wife had a few days to live.The husband replied 'Doctor don't worry,I have waited for 40 years a few more days won't do any harm'.
 
Hello Familia nzima ya JF, naomba mtupe miongozo katika hii familia kwani tu wageni plz...!
 
hellow wana jf,wakunbwa shikamlooni na wenzangu mamboz!
naombi kualikwa kwenye jf
:sad:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…