How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Nani anaiua nyumbani longe?nahisi hana watendaji wazuri,wafanyakazi wazui ,maprofessional,mabatender,waitress,na wasimamizi .
 
Nashukuru,japo bado kuna mambo hayajawa clear,let me go through the document 4 the second time
 
Aje bandugu kwa wapya maelekezo ya kina yanahitajika .tunaomba mwongozo wa mambo kadha wa kadha .
 
Wazee ndugu zangu mbona kila siku kazi zinawekwa na sisikii hata mtu kasema kuwa jaman nimeitwa katika hata interview?au mnatak sema havieleweki?mjue kuwa mimi niko mgongoni mwa kila mwana jamii forum so tupeane pia habari hizo jaman....zitatupa moyo vile vile
 
Hello mi ni mgen humu jf nina kamba mguuni naomba mwongozo
 
nimepata qn kwa jf hv kama huku bush 2na 2mia phne so ingekuwa poa kama mgeweka post hii juu kabsaa!ila kiac nimepata pakuanzia thx jf
 
Ndo nishajitupa hivyo, yani kitu tiiiii mpaka jf.
 
hellow wanaJF!!!

Nafurahia sana uhuru wa jf, am ready for support ...
 
<br />
<br />
Am okey mkuu! Nimekupata
 
Nihil Timendum Est...Fear is the Mind Killer and the coward dies many times before the really death.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…