"Kama vyama vya tanzania vitaendelea kuendekeza mfumo wa kugawana madaraka hakika hatutakuwa na maendeleo ya kweli". Kama CDM wangewaacha madiwani Wa arusha bac tungeelekea kulekule kwenye serikali ya umoja wa kitaifa ya ZNZ ambayo dhahiri inawaumiza wananchi. "Demokrasia ya kweli lazima ifuate misingi ya haki si ulafi wa kugawana madaraka" Hongera cdm kwa maamuzi magumu.