Hi! nimevutiwa na jamii forum, watu mnapashana habari kisawasawa, mnaelezana kinagaubaga. Hii ni sehemu nzuri sana ya kujifunaza, naomba mnikaribishe nami
Hello,naitwa Amina nini miaka 26 nasoma chuo, natafuta mchumba,umri kuanzia miaka 28 hadi 35 awe muislam,awe na kazi,aliyetayari kupima,maelezo zaidi tutawasiliana yoyote aliye tayari.
Wadau wa jf mimi ni mpya hapa kama zilivyo noti mpya za tz ila mimi co fake kama zilivyo noti mpya, I need to know more on how to use this valuable web...😛anda: