How to track someone's phone?

Mayu asante kwa elimu murua, but naona kwa upande wako elimu ya tracking imeishia hapo ikiwa na maana Technology ipo zaidi ya hapo kwa hivi sasa au kabla ya hapo.

Huyu ni mmoja wa waTZ ambaye namuheshimu sana akiwa na ujuzi yawezekana kama wako, ila anachofanya kwa kutumia simu yake ndicho kimenifanya nione wewe umeishia nyuma sana.

Huyu jamaa simtaji jina aliniomba kujaribu kitu kidogo sana, mf. Aliniomba namba yangu akaniambia naweza kukupa details juu ya calls, sms, nk au kujua ninachofanya wakati wote pasipo kuishika simu yangu..!!

Kwa ufupi aliniambia kuna uwezekano wa kufuatilia kila afanyacho mtu hata kuzuia simu zisitoke/kuingia ili mradi uwe na ujuzi wa simu za kisasa/smartphone, ambazo zenyewe zina mifumo uliokuja nazo zaidi ya tunazo_install.

Kwa sasa ni hayo .....>>>>
 
Mkuu Jf hatuandikagi hivi.....hujaandika chochote hapo....
 
Tatzo za hizi application nyingi zake zinauzwa..tena gali sana hadi laki sita hela ya kitanzania ukitaka kutumia application yao kwa mwaka mzima.....otherwise ni vitrial version vya siku 3 hadi 7.
 
Ni nzuri kwa watu wenye biashara..kwa mfano mtu una kamini supermarket kako...ukaamua kuwanunulia wafanyakaz simu za kazi....just kwa kazi tu....kwa hiyo ukiwa na application kama hizi zinaiweka biashara yako salama.....
 
ok ok,ngoja tujipime kama tuna magonjwa ya mioyo ama laah...
 
Hebu ngoja,mfano mtu anajua namba yangu moja tu let say ya Voda,je kwa njia hiyo anaweza kusoma na kuona calls hata za line nyingine iwapo simu ni double line.Je,kama anaweza hata ikiwa offline anauwezo pia.
 
Hadithi za abunuwasi hizi
Yaani ujue no ya mtu tu kisha uhack details zake bila kushika simu ya muhusika?
Labda awe anafanya kazi kwenye mitandao husika kama voda au tigo nk
 
Iko poaaa ila nzuri sana
Naombaaa msaada kwa mtoa amada hakuna ile isiyohitaji simu ya victim kuinstall app yoyote yaan ukiwa na namba yake tu mchezo kwishaa hakuna hiyo????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…