How to track someone's phone?

njia ya pili kuna jamaa aniliekeza, then nika mtrack bebe, kidogo nijifie, hii ni kutafuta magonjwa,...
Mkuu watu tunapenda shida kweli, hakuna mtu ambaye nimewahi kumuwekea hii makitu akabaki salama....wote walikua wanachapiwa
Ndio maana nasema kama unamtrack bebi wako uwetayari kumuacha au kuvumilia na utakayempata ni yale yale tu
Bora ukae usijue na ujiaminishe niko peke yangu

Inashauriwa sana kumtrack mwanao baaaasi
 
Kwenye hii app kuna vitu kadhaa vinavyoleta mkanganyiko hivyo nafikiri ni vyema ukatoa ufafanusi mkidogo kwa faida ya yule atakaehitaji kutumia.

(1)Baada ya kudownload children tracker
Kuna vipengele hapa vya kujaza ambavyo ndio naona vinawapa watu shida kidogo.

  • Email
  • Password
  • Login
  • Register
Swali. la msingi hapo ni hivyo vipengele unatakiwa kujaza details za muhusika au kwako?

Baada ya hapo ukislide hiyo app kutoka kushoto-kulia utakutana na vingele vifuatavyo.

  • Email
  • Register

Swali hapa kinacotakiwa kufanyaika ni nini? Unaregister email ya muhusika/kwako

(2)Ukimaliza hapo utakutana na hatua zinazofuata ambayo unachangua ni vitu gani unavyotakaku-track
· Call,massage,location,Browser na Activity.

Kisha kunakipengele kingine kilichoandika “APP SETTING”
Hapa unakutana na option moja iliyoandikwa
=>Enable Device Admin []

Swali ni kitu gani cha kuzingatia kwenye hii hatua?

NB; embu jaribu kutoa maelekezo mazuri kwenye hayo maswali na vipengele hapo juu, pamoja na ile website mtu akatakayoitumia kuangalia vilivyo tracked
Bila kusahau vitu vidogo vidogo ambavyo nimevisahau.

Nimeona kwenye hii hatua ya kwanza kuna watu wanachanganya na kufikiri hii children tracker ni sawa na mobile tracker app zinazofanya kazi kwa kutegemeana hivyo lazima awenazo zote kwenye simu

CC; Mayu
 
ya kwanza ni trial for 7 days
Ya pili free ingawa ipo na ya kulipia yenye functions nyingi zaidi
Tembele website bana utakuta kilakitu

Kaka hii application hasa ya pili iko poa maana hata simu nne una track...ila ishu ndo hiyo haioni watsaap texts..
 
Mimi nimekuelewa sana mtoa mada, na nimekuja na wazo tofauti je hiyo App naweza itumia kama ulinzi wa simu yangu, mathalini ikiibiwa au kupotea? Au ipo ambayo ni nzuri zaidi ya hiyo?
 

Daah, this is interesting...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Oya kaka Hiyo ya Pili nishainstall ktk simu ilaaa sioni iko wapi na inafanyejee Kazi...
 
Last edited by a moderator:
Email ya mtu utaipataje? kama hana email je?

mkuu hujaelewa bado, naomba rudia kusoma maelezo na tembelea hizo link utaelewa tu
Huitaji email ya mlengwa unatumia email yako ambayo utaitumia kulogin kwenye website husika kuanza kutrack simu baada ya kuwa umeishafanya installation kwenye simu husika
 

Kaka mi nashidaaa aiseew nimedownload hiyoo kitu ilaaaa...inazinguaaa nilikoseaa kuandika model ya simu Halafu naitafuta application nibadilishe sioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…