How to seduce a woman in 5 minutes.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How to seduce a woman in 5 minutes..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jay One, Nov 25, 2010.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,077
  Likes Received: 4,662
  Trophy Points: 280
  There are many techniques kumtongoza mwanamke chap chap na kwenda nae kitandani
  siongelei malaya, laa, mwanmke wa hata yule mpiga kalenda, do these.
  1.understand her point of view, appreciate her
  2.Stay +ve everytime u r with a woman, no -ves ideas here
  3. use u r mental powers kumtongoza mwanmke, na kumwondoa hofu akiwa nawe ( u r a
  king temporarily)
  4.mwanmke ana hofu kuu 3 akiwa nawe, she fears she is not as beatiful as she needs
  to be, breast, weight, tell her how beatiful she is ( ww mradi upate mzigo)
  5. Mweleze kuwa mtakuwa pamoja siku zote, milele hadi Yesu arudi, ok
  6. Mwanamke anaogopa unwanted pregnancy, AIDS so muhakikishie utatumia Condoms
  7. use strong body language techniques, kwamba babu ana mtaka bibi, ok wajameni
  8. Finally set u r minds working then body follows,
  Kazi kwenu Wanaume JF, enjoy
   
 2. F

  Ferds JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  AIyaaaaaaaaaaaaaa umeharibu kuiweka hapa coz watastukia , Ngoja mwasu au Dena Amsi aione utakoma
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mhhhh!!!!!!!Haya bana
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Yote hayo yanatokea ndani ya dakika 5!

  kweli dakika tano za kizazi hichi ni ndefu mno
   
 5. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2010
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh! ngoja nika-exercise sasa hivi...thanks mkuu
   
 6. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kwenye RED hapo , muhakikishie kuwa utampa MOYO wako wote, wewe utatumia FIGO kupampu damu.
   
 7. w

  wilolesi New Member

  #7
  Nov 25, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ebana eeeh hapo siyo kabisa, though muda mmepatia kwa vijana wa utandawazi dkk 5 ni kama mwaka kwao tena ungesema mbili tu Mr President
   
 8. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2010
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  what a rubish, anoavyo nafsini mwake ndivyo alivyo! hivi wewe unawaza tuu sex? huna mchango mzuri wa mmawazo namna ya kututoa watnzania kwenye umaskini? unatuambia namna ya kutongoza? umekufa, a walking corpse! sorry for such strong language!!!
   
 9. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  OLD DONKEY TRICKS...!!Simply be smart and play your cards ryt!!:mod:
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  sasa ukishampata unamfanyaje?
  afu afta kitenzi icho?
  u fl full as a men?
  mweee mungu tunaomba busara japo kdg waja wako twaangamia.....
   
 11. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  napingana na wewe kabisa,hiyo niliyobold labda changu ndio atafurahia coz atajua buzi limeiva kwa kuchuna.
  hata hivyo ningekushauri uongeze muda,dk tano zinafanya hadithi iwe ya kufikirika.
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ipotezee kama haijakugusa unategemea kila mtu ahubili maendeleo mapenzi yana nafasi yake mkuu acha fikira mgando
   
 13. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2010
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,080
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  This is so low dude... yaani wewe mzigo ndo kila kitu... by the way
  it depends on how cute she is. Beautiful women get complements
  every minute. So if she's cute I wouldn't complement her directly, I might
  challenge her intelligence instead that way she has to earn my
  complement.
   
 14. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Brilliant!
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Post of the week! Thanks buddy
   
 16. minda

  minda JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ebu nicharipu!
   
 17. M

  MalaikaMweupe Member

  #17
  Nov 25, 2010
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tufundishe na namna ya kuwakataa!
   
 18. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #18
  Nov 25, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Haaa haaaa Duh! Uchaguzi Umeisha na Yatokanayo, sasa akili imeamia kwingine . . . .

  Poa Mkuu, si mbaya pia tukipeana mawazo ya "Jinsi ya Kuwa Tajiri" Au "Jinsi ya Kuondoa Umasikini"
   
 19. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #19
  Nov 25, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  hivi kwa hali ilivyo leo kuna hata haja ya wanaume kufundishana jinsi ya kumseduce mwanamke!maana wanawake wenyewe wa kileo wanajiseducisha.kaazi kwei kwei.
   
 20. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #20
  Nov 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mr Prezidaa

  Mwanamke yeyote unayeweza kumtongoza chap chap na kwenda nae kitandani within 5 minutes ni MALAYA!
   
Loading...