Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,349
- 6,476
hivi kwa hali ilivyo leo kuna hata haja ya wanaume kufundishana jinsi ya kumseduce mwanamke!maana wanawake wenyewe wa kileo wanajiseducisha.kaazi kwei kwei.
Siku zote mwanamke uanza kwa ishara halafu mwanaume anamalizia. Cha msingi mwanaume kuwa mwepesi kugundua hizo ishara mapema kabisa/ Pili 5 minutes sio kweli huyo atakuwa changu maanake wanawake hawakubali game bila kujiweka sawa - usafi kwanza. Yaani umekutana naye kariakoo, jua kali halafu akupe, sidhani; labda kama ni coincidence - yuko safi lakini bado ni issue.
Kuna story: mwanamke akienda kwa mwanaume siku ya kwanza anaenda na rafiki yake, wakitoka out mara ya pili anaenda na rafiki yake, mara ya tatu anamtoroka rafiki yake!!!!!!!! Angalia muda huo. Labda unaongelea culture za watu wengine lakini Bongo hamna. Kwanza mwanamke akisema NO ujue ndio YES.