The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
- Thread starter
- #41
Swahiba ni kweli lakini pia tukiangalia upande wa pili je hizo hela unazitumia kwa manufaa ya mahusiano yenu wawili au ndio mtu unaenda kubeba vidumu vingine huko nje..Habari yako swaiba,cjui km nahusika but nakubaliana nawe but ili kufanikisha yote hayo hela lzm nayo ina nafac yake as ujuavo tukibase kwenye ukweli mapnz bila pesa japo kwa ajili ya kukamilisha mambo muhimu hayafiki mbali achilia mbali kudumu!