Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,712
Kuna wanaoinvest kwa wanawake ila wanategemea positive returns tu. Wanakosea.
Hujambo dogo?
Ulipotea leo!Kumbe upo!
Kuna wanaoinvest kwa wanawake ila wanategemea positive returns tu. Wanakosea.
Hujambo dogo?
Hahahahaha!!!What's real is that am not and will not be except for for some exceptional rules
To support her to be the best she can be..upo hapo..lol
Ulipotea leo!Kumbe upo!
oaoa...Well it's good to know that you also visit there...
I see.No man can satisfy a woman simply by WHAT HE DOES FOR HER.
hebu elezea namna unavyomuinspire yule wife wako.
kwa maisha sasa! fwedha inachukua nafasi kubwa saana ie could say more than95% so it is logical 2 say $ is evrthing!!Money does not necessarily buy love...lol..
mapenzi ilikuwa zamani, siku hizi wizi mtupu. No money no honey.
Lol...Asante sana mkuu for your insight..Mimi mtanismehe na hichi kidhungu - nikiandika au kuzungumza kidogo kichwa kinaanza kuniuma - lol.
Kwanza nahisi hilo la "kuruhusu, ku"motisha" na kusadia au kuunga mkono", ni wajibu wa pande mbili. Kwa nini iwe ni jukumu la mwanamume tu, au ndio hiyo "man supremacy?". Ni pale tu mnapo ruhusiana, kumotishana na kusaidiana ndio maisha ya upendo yanafana.
Lakini pia kuna tatizo kama wengine walivyodokeza juu ya "mapenzi ya siku hizi", watu wanakosa kuaminiana.
Kwa kufanya hayo hapo juu kwa nia njema, wengine huutumia uhuru huo na kuwageuka wenzao. Kuna mifano mingi ya wanaoanza maisha chini kabisa, lakini mara tu baada ya kufanikiwa ki"material", mume anakimbilia kuoa mke/wake wengine au kuweka nyumba ndogo, au yote mawili, ikitegemea na dini. Au mwanamke anakuwa mfujaji, anahonga, anaanza dharau na mflulizo wa mikasa.
Ni nadra siku hizi kukuta mwanamke asiyewania kujenga nyumba yake au kujenga kwao bila ya kumshirikisha mume wake, pengine kwa hofu kuwa siku yoyote anaweza kutimuliwa. Au mume kuanza kuwajengea mahara wake kama kwamba hana watoto wa kuwatayarisshia maisha.
All in all, it's too complicated. How a man/women would know (110%) that he/she wouldn't be betrayed? (Lo hapa kidhungu kimekuja wenyewe bila kuumwa na kichwa).
Tufanye nini - wanawake na wanaume ili tupendane, turuhusiane, tuhamasishane, tusaidiane, na zaidi tuaminiane?
Yep..maana hata 2010 tunaweza kusema ilikuwa zamani na yenyeweZamani ni lini?