How to root techno spark plus

How to root techno spark plus

kifimbodo

Senior Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
151
Reaction score
73
Habari wadau, tafadhali naomba kufahamishwa namna ya kuroot cm ya techno plus, najaribu kuinstall programme ya hi font lkn inataka nifanye rooting kwanza.
Natanguliza shukurani zangu kwenu watalaamu wa IT
 
Wanakuja.
 
Techno k, msaada jinsi ya kumute sauti ya kamera, (kuondoa sauti wakati was kipiga picha)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom