Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
guys mambo vipi kuna hii advert ya travian game yaani linakuja kila ninapofungua website yoyote ile inajiopen automatic katika new tab sasa kama kuna mtu ana ujuzi wa jinsi gani ya kuitoa yaani isiwe kabisa inakuja tena please anisaidie maana inaniboa kila ninapoliona nita
attach picha yake.
attach picha yake.