donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Ubarikiwe sana.
Nimejaribu mkuu...haifanyi kaz shortcut znabaki palepale na file hazionekanii...imebidi nibadilishe settings ya ku view hidden files ndo nikapata files zangu...baada ya ku scan!Shortcut viruses zinakera sana kwa kweli, unakuta mtu una mafaili yako unamwazima mtu flash au external yako af unakuta mafaili yote yamekua shortcut hayafunguki yameliwa. kwaio wakuu ngoja kidogo tushee kuhusu ili swala.
Njia ya kwanza simply nikutumia ubuntu ambapo unaduplicate files/folders nakuhamisha mafaili yako then unadelete yote yale yenye shortcuts. Njia ya pili ambayo nimeipata kwa msaada wa website ya kiosk ni kama ifuatavyo:
Step 1:
Click on the below link and download the file "AutorunExterminator"
Download Autorun Exterminator free | Kioskea.net
Extract it --> Double-click on "AutorunExterminator" --> Plug your flash drive now.
This will remove the autorun.inf files from your flash drive and also from drives.
Step 2:
Click on "Start" -->Run --> type cmd and click on OK.
Here I assume your flash drive letter as G:
Enter this command.
attrib -h -r -s /s /d g:\*.*
You can copy the above command --> Right-click in the Command Prompt and
paste it.
Note : Don't forget to replace the letter g with your flash drive letter.
Now press "Enter".
Now check for your files in Flash Drive.
Ni hayo tu wakuu wangu,usiku mwema!
Nimejaribu mkuu...haifanyi kaz shortcut znabaki palepale na file hazionekanii...imebidi nibadilishe settings ya ku view hidden files ndo nikapata files zangu...baada ya ku scan!
yeah mkuu nimedownload na kufuata maelekezo yote but mothing..nimejaribu tena na tena still didint work for me!it worked for mee mkuu. umedownload iyo autorun terminator? alaf zingatia kwenye zile commands pale
yeah mkuu nimedownload na kufuata maelekezo yote but mothing..nimejaribu tena na tena still didint work for me!
usijali mkuu...nimeshafanya maujanja mengine na kupata files zangu...ila nitakutafuta soon tu mkuu kuhusu mambo yetu yale ya gaming!!wel mkuu myb we ot 2mit then nkuoneshe
usijali mkuu...nimeshafanya maujanja mengine na kupata files zangu...ila nitakutafuta soon tu mkuu kuhusu mambo yetu yale ya gaming!!
Shortcut viruses zinakera sana kwa kweli, unakuta mtu una mafaili yako unamwazima mtu flash au external yako af unakuta mafaili yote yamekua shortcut hayafunguki yameliwa. kwaio wakuu ngoja kidogo tushee kuhusu ili swala.