How to read pdf files in blackerry

ropam

Senior Member
Aug 11, 2010
173
35
Hello Jamii!
Naomba msaada kwa yeyote ajuaye free software itakayoniwezesha kusoma mafile ya pdf kwenye blackberry
 
nenda android market na udownload adobe reader ama waweza kwenda waptrick na usearch adobe reader then nenda appl na uinstail. me nilifanya hivyo kwa android yangu nikaweka adobe
 
nenda android market na udownload adobe reader ama waweza kwenda waptrick na usearch adobe reader then nenda appl na uinstail. me nilifanya hivyo kwa android yangu nikaweka adobe

Hey bro! Does ths work hata kwa OS ya BB (RIM) au ni android OS pekee, kwa sababu nimejaribu kuidownload hii adobe reader inanigomea
 
Huwa kuna installed "document to go" hii inasoma ppt na .doc hii huwa ni trial with limited service, kama ipo just ukiweka key zake itakuletea option ya kudownload pdf reader ambayo itakua full version. Kama ipo kwe bb RIM yako na huna key nijuze nikupatie, Otherwise search document to go for bbm
 
Hey bro! Does ths work hata kwa OS ya BB (RIM) au ni android OS pekee, kwa sababu nimejaribu kuidownload hii adobe reader inanigomea

Nenda BB market place na uitafute adobe huko. huenda ile ya android market imewekwa kwa ajili ya Android. Lakini waptrick huwa inaditekti simu na kuleta ile inayoendana na cm.
 
Ikishindikana kuweka adobe unaweza kuinstall King Soft Office ambayo ni sawa na Ms-Office ya Microsoft. Hii nayo pia inafungua adobe files. This is possible for almost all smart phones. Pitia waptrick.Humo unaweza pata v2 vingi sn
 
Back
Top Bottom