How To Make A Counterfeit Egg, China Style

mie ninajiuliza kila siku zile chupa za maji wanazokota watu zinapelekwa wapi isije kuwa wanatengeneza SOSEJI FAKE!!!
 
Kuanzia leo, nimekoma kula kwenye hotel za kichina lol. Si ajabu washatulisha hivi vitu feki, Mungu jalia.

that is not a solution,waweza enda kula katika migahawa mingine lakini wao pia wakawa ni wanunuzi wa jumla wa hayo mayai feki,kwasababu yawezekana nao wanataka faida nyingi.

tuepuke kununua bidhaa za bei rahisi kutoka china au tuache kabisa kununua bidhaa zao.

ni ushauri tu.
 
Ha ha!! I was going to say they must be d*** expensive only to get to the bottom of the article and see the price!! Why are they so cheap considering all the material and effort that goes into producing them? Or is calcium carbonate and gelatin etc cheaper than chicken feed and lab technicians are paid less than farm hands?

Sitashangaa kusikia yamekua exported to Tanzania.

ngoja nichangamkie dili ya kuya import,
wapenda chips mayai wapo kibao.
siikosi vichwa kwa kweli
 
Watz kwa uongo!! Loo tumezidi. Hayo mayai yanawatisha nini?mbona ni product njema na iliyotulia? Hamnielewi eeh? Kuku wetu tuliambiwa wanalishwa vidonge vya majira kuna aliyesusa? Mbona vibinti vyetu vilitutumsha vititi na tulikaa kimya. Sangara sato toka rock city waliwekwa dawa za kuzuia maiti zisioze kuna nani alijali.nguruwe na kuku wananenepeshwa na ARV nani kashangaa? Wanaotenda hayo yote ni watz wenzetu. Wanaotuletea phone fake toka huko china ni kinanani? Dawa za makalio anazileta nani.Acheni hizo si miili yetu ni yamajaribio ya mambo yote mabaya. Wachina wanacopy kwetu sisi tumewatangulia.wachina ni wengi mno so kila mmoja anabuni namna ya kuishi. Angalia madawa fake toka india yalivyofurika madukani nasi tunayapokea tu tfda wapo wapo tu. YAANI NI KERO KWA KWENDA MBELE.WATZ TWAUWANA WENYEWE MCHINA HANA NOMA ANAKUPA UNACHOKIHIITAJI.UCHAPUZI NI WAKO MLAJI
 
tabu yote yakutengeza mayai feki si watengeze kuku feki ili watage mayai org hawa jamaa kiboko kazi ipo kuwazibidi maana ukiwazibiti kioriginal watajicopy na kuwafeki kuwakamata kazi
 
ngoja nichangamkie dili ya kuya import,
wapenda chips mayai wapo kibao.
siikosi vichwa kwa kweli

kama huwajui wakurya vzuri we jaribu kuimport hayo mayai feki uone kauli mbiu yao ni fiiiiita ni fiiiiiiita muraaa
 
Tunaonyesha ushirikiano wa dhati kama wao wanavyoshirikiana nasi mkuu...teh teh...!
 
na hili linchi lenu linavojua kuimport everything fake from china subirini tu.
....tutakuwa tunaonyesha ushirikiano kama wao wanavyoshirikiana nasi kwa kuwekeza hadi kwenye uuzaji wa karanga za kukaanga. Tuta 'import' tu hayo mayai,who cares!
 
Don't buy any product from China


Haiwezi kuwa solution. Mbona products za China kwenye soko la Ulaya na Marekani ni classic? Akili kichwani. Mtu mjinga unashughulika naye hivyo hivyo alivyo. Ukijarabu kumbadilisha ni vita isiyoisha. Kama dili ni biashara kwa nini uhangaike na mtu wa hovyo namna hiyo? Kwa ufupi sisi ni watu wa hovyo, kwa hiyo tusiwalaumu Wachina. Duniani kote watu makini wanalinda watu wao kwa gharama yoyote. Hebu na sisi tujaribu kupeleka bidhaa feki huko China tuone itakuwaje!
 
Nimegundua kwa nini flat mate wangu wa Kichina huwa anatupa maganda ya mayai kwenye "recycle bin" nimelalamika hadi nimechoka, kumbe kwao yanatengenezwa kwa recyclable materials!!
 
I wish they came up with "fake religions" for Africans to believe in... may be that way we'd have something positive to stir up change and put some ingenuity in our lives!
 
I wish they came up with "fake religions" for Africans to believe in... may be that way we'd have something positive to stir up change and put some ingenuity in our lives!
Mbona zipo nyingi tu... chochote kitakacho anzishwa hakitakosa wafuasi.
 
STUNNING

Manufacturing fake eggs
In China there are fake schools and classes that teach a variety of blatant fraud technology, even eggs can be modulated by chemical materials, but also be able to fry cook, is currently the most popular False course.
Step 1 modulation of raw materials

Using 7 kinds of chemical materials, see pic below
fake_chinese_eggs_01.jpg
Fake egg was made from calcium carbonate, starch, resin, gelatin, alum and other chemical products.
Step 2 egg production​
Raw egg into the mold to 2 / 3 full, put calcium chloride, colouring die, the egg appears on the film been announced.
fake_chinese_eggs_02.jpg


The 'yolk' is shaped in the round mould. 'Magic water' containing calcium chloride is used.

fake_chinese_eggs_03.jpg


By adding a yellow pigment and become raw egg yolk..

Step 3 fake egg shape​
In the mold into 1 / 3 raw egg white, like the first package, like dumplings into the egg yolk, egg white into another, into the magic water, a shell eggs will come slowly. Naked egg shape to 1 hour to dry after washing with water, at shells ready.
Step 4​
Sewing lines through the use of eggs, immersed in paraffin wax, calcium carbonate, such as modulation of the eggshell into a solution, repeated several times until the shell a little dry, immersion in cold water pumping line shape, this point, the egg has been put on a false cloak , You're done.
fake_chinese_eggs_04.jpg


Hard shells are formed by soaking in paraffin wax onto the egg, which are then left to dry.

fake_chinese_eggs_05.jpg


fake_chinese_eggs_06.jpg

Oh yeah The Egg is ready. The artificial egg shell is very fragile and break easily but who cares!!

Look so real

fake_chinese_eggs_07.jpg


Many small bubbles is formed during frying the egg but not many people can tell the difference.

The egg look exactly the same, and the eggs taste better than real but you are adding to the

statistic of food poisoning person.

fake_chinese_eggs_08.jpg


fake_chinese_eggs_09.jpg


fake_chinese_eggs_10.jpg


Why make fake eggs ?

Because of money.​
The cost of fake egg is only 0.55 Yuan/kg, while the true [WINDOWS-1252? ]eggs’ market price is 5.6 Yuan/kg.

Cases of problem foods and food poisoning are widely reported in Mainland China over the last few years.. In 2001, there were 185 cases of food poisoning, affecting about 15,715 people and causing 146 deaths. The cases doubled in 2002. In 2003, the number of reported cases was ten times more than that in 2001, and the number of people suffered was as high as 29,660, including 262 deaths Now In Sept 2008 Nearly 53,000 Chinese children sick from contaminated milk; 4 have died​
 
Huo moto wa jehanamu siku ya mwisho sijui watasema nilikua natengez bidhaa feki ili kuwadhuru kwa makusudi binadamu wenzangu. sielewi kama kuna katika duniia hi hawajatengeneza, labda uhai wa binadamu wanaowaangamiza ndio umewashinda. Kibaya zaidi nchi yetu ndio imekuwa dampo la ku-import bidhaa feki na tena zikikamatwa utasikia mtu kapewa adhabu ya kuziharibu. kwa nini wasiwe wanawahukumu vifungo vya maisho au kunyongwa kabisa maana wao ni wauaji. maana bila hatua madhubuti wataendelea kuleta tu wakijua tukikamwatwa tutalipa fedha huku libeneke linaendelea.
 
Back
Top Bottom