how to log in my website | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

how to log in my website

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by rosemarie, Jun 16, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  jamani naombeni msaada
  tumemlipa mtu atengeneze website akamalizia lakini tunataka tubadilishe addres
  tukamwomba akakataa alitaka hela zaidi,
  amenipa user name na password naomba msaada how to log in,
  inachanganya kweli
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  unaweza kunipa jina la website kabla sijakujibu...
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Inategemea na host wako. Jaribu www.domainnameyako.com/cpanel

  Pia itabidi ununue domain name mpya kwa domain name seller e.g Domain Name Registration and Web Hosting | Domain.com (sio lazima ununue kwa host wako) kisha uielekeze kwenye website yako.
   
 4. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Taja ni host gani mmetumia. Itakuwa rahisikupata maelekezo kwani kwenye tovuti ya Host kama ni makini kuna documentation nini unatakiw akufanya ukitaka kubadilisha domain . Na unataka kubadilisha adresss kutoka ipi uloyokuwa unatumia mwanzo kwenda ipi?
   
 5. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,086
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Unaposema kubadiliasha address unamaana kubadilisha directory/folder ya login script mfano kutoka (http://domain-yako.com/marie) kwenda (http://domain-yako.com/rose) au unamaanisha kubadilisha domain (http://domain-mpya.com).
   
 6. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  weka address ya site yako au wasiliana na anaye host website kama siyo yeye.
   
Loading...