How to install whatsapp to the PC

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
137
Ndg zangu najua humu jamiiforums hakuna kinachoshindikana mimi nataka ku install whatsapp kwenye simu yangu nifauate hatua zipi ili niweze kukamilisha zoezi hili?
 
Ndg zangu najua humu jamiiforums hakuna kinachoshindikana mimi nataka ku install whatsapp kwenye simu yangu nifauate hatua zipi ili niweze kukamilisha zoezi hili?
Narekebisha sio kwenye simu ni kwenye Pc yangu
 
mkuu, kama pc yako spacefication zake zikiwa za manati yani ndogo achana na hilo wazo itasababisha uichukie pc yako bure....toa spacefication za pc yako kwanza ili tuone kama ina kizi vigezo
 
ni rahisi sana install google chrome browser then ingia chrome web store then search whatsapp itakuletea app na extensions zake ni rahisi sana kuownload na kuinstall fuata maelekezo tu
 
Back
Top Bottom