Pole sana miss rose.
ok kuficha ip kwa kutumia software ni rahisi sana ila unaweza tumia PROXY ADRESS!!!!
Ni rahisi kuliko unavyofikiria na wala haitakiwi uwe mtaalamu wa macode au nini....ok
cha kufanya tumia proxy hizi hapa chini kufungua hiyo web yenye illegal contect...
hakuna atayeona IP yako na mfano mtu anakutafuta atapewa IP ya nchi nyingine.
Mfano utaonekana IP yako ni ya canada wakati upo Bongo.
hizi hapa ila pia waweza search google for more.....
nobodycanstop.us
Hide My Ass! Free Proxy and Privacy Tools - Surf The Web Anonymously
kama unataka zaidi ni PM...
pia kama Ulipo facebook imefungwa au youtube wewe fungua kwa kutumia hii kitu and have fun.
(hii ndio kitu waliyotumia Misri na Tunisia Kurusha video on youtube na facebook bila serikali kuona)
Nawashauri wanajamii wote wawe wanatumia PROXY kufanya vitu ambavyo hawataki SERIKALI ione. maana Kupitia idara ya mawasiliano serikari na FBI wana ona kila unachokifanya online.
cheers!!
Pole mkuu rukus.
hapo juu umeonyesha ufinyu wa maarifa....sikutegeme mkuu kama wewe ungetoa maelezo kama hayo.
sharing ip adress doesnt make u free from other pipo s eyes!!
hata kama ni shared bado mtu anaweza aka kutrace na kujua kila kilicho kwenye PC/Laptop yako.
nikielezea hapa hatuta msaidia mtu, labda uanzishe TOPIC kuuliza kama kuna sababu za ku hide shared ip!!
anyway fungua link hii kuona Jinsi gani computer yako ipo UCHI
What is my IP address
Halafu kisha fungua link hiyo hiyo kwa kutumia proxy adress au gonga hapa
nobodycanstop.us
kama mtu ameweza ona hadi unapo ishi,aina ya computer yako na software unayotumia...si dhani kama hakuna haja ya kuficha.
pole sana mkuu!!!
Mkuu, Computer yako ikiwa imeunganishwa na internet hakuna cha kuficha tena hapo watu wakihamua kujua kilichomo au unachokifanya watajua tu .
Soma hayo maneno uliyo ya nukuu vizuri.... Uwezi niambia eti unaficha IP yako uwe salama, unaficha kwa kutumia kitu gani? je na hiyo proxy unayotumia unajua inamilikiwa na nani? na je akitaka kuchukua taarifa zako na akatumia ananvyo taka utasema umeficha kitu?hapo bado tu hujaona sababu ya kuficha IP yako!!
proxy zinaficha bana hata kama mnatumia watu 150 IP moja....
usipoteze watu kwa kusema kuwa huwezi ficha wakati waweza ficha.
au kama vipi mcheze "hack me if u can"!:evil:
Kutumia proxy kunaifanya kazi ya kukutafuta iwe ngumu, but not impossible. Kimsingi, hakuna privacy kwenye Internet,yaani huwezi ukafanya kitu na watu wasiweze kukutrace wakitaka-ndio maana hackers wanakamatwa na wale ambao hawakamatwi, bado ni rahisi kujua walitumia PC gan. Njia inayoaminika ni ya kutumia VPN, lakini bado watu wakiamua kukutrace watakupata.
Sharobalo na Uncle Rukus, cease fire jamani. Ukumbi si wa vijembe huu. Kubalianeni kutofautiana na kuendelea na ushiriki wenu ulio chanya kwenye jukwaa la maarifa. Pia nawaombeni "msi-download na ku-upload" kutokuelewana kulikojitokeza kwenye sredi hii kwenye sredi nyingine. Pamoja. Ahsanteni!!
Steve Dii
aha!! watu kama hawa wapo ili maisha yawepo.
Maana akiona nimetoa post tu yeye anaaza kuponda.
fatilia post zote haoni kizuri hata kimoja.
sasa sijui ni umri unamsumbua amesema anaweza kunizaaa.
wazee wetu hawa bwana
hata ukienda kijana kuomba kazi ofisini wazee wanachukia kuona vijana wapya wameingia.