How to get paid here in tanzania?

How to get paid here in tanzania?

Banned

Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
51
Reaction score
16
Wakuu nataka nifungue website yangu,ambayo imekaa kibiashara zaidi,sasa mpaka leo sijajua methods nzuri za kuwa paid online,,nimeona paypal hawa support payment kuwa received when in Tanzania

Kwa anaye jua ways za kulipwa anisaidie ,itapendezaukiweka na FEES

shukrani sana
 
Kufungua website ni kazi ndogo sana kuliko kuitangaza hadi ikafahamika na kisha kuvutia clients! It can take you a year or so without getting clients for your site! So, badala ya kuumiza kichwa ni namna gani utaweza kulipwa, concentrate on how u're gonna make ur site know and attract clients!! Narudia, hii ndio kazi ngumu na usipokuwa determined, utaachia njiani!

Kama ni muhimu kufahamu ni njia ipi that's all depend na vile utakavyokuwa unafanya! Kama just watu wawe wanaweka Ads zao(locally) basi njia pekee na rahisi ni through mobile money.....M-Pesa, Tigo Pesa and the like! Jambo la msingi kwako ni kuwa na service ya ku-create Banners coz' si clients wote wanaweza kuwa na Banners in the first place! Hata hivyo, ikiwa unafikiria ku-create Pay To Click (PTC) system, am afraid itakusumbua na katu sikushauri...!!
 
Kufungua website ni kazi ndogo sana kuliko kuitangaza hadi ikafahamika na kisha kuvutia clients! It can take you a year or so without getting clients for your site! So, badala ya kuumiza kichwa ni namna gani utaweza kulipwa, concentrate on how u're gonna make ur site know and attract clients!! Narudia, hii ndio kazi ngumu na usipokuwa determined, utaachia njiani!Kama ni muhimu kufahamu ni njia ipi that's all depend na vile utakavyokuwa unafanya! Kama just watu wawe wanaweka Ads zao(locally) basi njia pekee na rahisi ni through mobile money.....M-Pesa, Tigo Pesa and the like! Jambo la msingi kwako ni kuwa na service ya ku-create Banners coz' si clients wote wanaweza kuwa na Banners in the first place! Hata hivyo, ikiwa unafikiria ku-create Pay To Click (PTC) system, am afraid itakusumbua na katu sikushauri...!!
sasa mkuu kama may be links za ku download nataka nizi shrink iliniwe paid by jamiiforums.com njia ipi hitakuwa nzuri kuwa paid
 
sasa mkuu kama may be links za ku download nataka nizi shrink iliniwe paid by jamiiforums.com njia ipi hitakuwa nzuri kuwa paid
Check with jamiiforums.com kama wana-accept Payza....ingawaje sio mzuri as compared to Paypal, lakini payza ina-accept payment to TZ.
 
labda nipo wrong maana nnachojua mimi kutosuport kulipwa tanzania si kosa la paypal bali ni kosa la miundombinu yetu tanzania.

Debit card zetu haziruhusu kupokea hela bali kutoa tu. Kupokea ndo zimeanza atm tena chache tu dar.

Hapo itabidi either ucheat na paypal au utafute makampuni kama liberty reserve then una earn hela kutoka liberty reserve then hela utayopata uitumie online tu bila kuiona kwa cash.

Ninaposema kuwacheat paypal namanisha kutafuta vpn then kuregister paypal kama sio mtanzania (maybe ujifanye unatoka uk) then usilink paypal na card uwe unareceive hela paypal na kufanya purchase za online.
 
mkuu hapo nimekusoma I see kwa hiyo ni ki hide IP yangumfano kwa kutumia GURU nikajidai nipo uk mambo yatajipa eti

naona hii ndonjia ngoja nione mwishoni mwa mwez huu make inabid ni receive payment
 
mkuu hapo nimekusoma I see kwa hiyo ni ki hide IP yangumfano kwa kutumia GURU nikajidai nipo uk mambo yatajipa eti

naona hii ndonjia ngoja nione mwishoni mwa mwez huu make inabid ni receive payment

mkuu ni risk lakini maana public ip kama hiyo unaweza kuta kuna watu kama 1000 washaitumia kuregister paypal so unaweza ukapigwa ban sometime.

Tumia liberty reserve kama hizo payment zako zinasuport
 
mkuu ni risk lakini maana public ip kama hiyo unaweza kuta kuna watu kama 1000 washaitumia kuregister paypal so unaweza ukapigwa ban sometime.

Tumia liberty reserve kama hizo payment zako zinasuport

..MKUU shukrani kwa kunitambulisha hii libert reserve.. sasa sijajua fees zao zikoje
 
Back
Top Bottom