How to fix .dll errors in your PC

How to fix .dll errors in your PC

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu,
Sometimes unaweza ukainstall game au program fulani then ukitaka kuirun unakutana na kitu kama hiki:

The program can't start because d3dx9_27.dll is missing from your computer. Try reinstalling the program to fix this problem.

Well, solution ya tatizo kama hili wakuu ni kutumia program iitwayo DLLFixer, ambayo unaweza ukaitorrent ukaipata au baadae usiku nitaiupload ili kila muhitaji aweze kuipata kiurahisi. Asante
 
Sometimes hizo software zinakuwa mizinguo tu mkuu kama vipi wewe google hilo tatizo na njia rahisi ni kuisearch hiyo dll inayo miss na kuiingiza manually, maelekezo yapo kibao mtandaoni
NB hakikisha una untvirus kuscan hiyo dll utakayo download
 
Mkuu ulichokisema ndio exactly inachokifanya hii software. Unafungua software then manually unasearch hiyo missing .dll, inaipata fasta nakuiautodownload pale pale
 
hilo tatizo lipo sana kwa PC yangu, real sucks
 
Salaam wakuu,
Sometimes unaweza ukainstall game au program fulani then ukitaka kuirun unakutana na kitu kama hiki:

The program can't start because d3dx9_27.dll is missing from your computer. Try reinstalling the program to fix this problem.

Well, solution ya tatizo kama hili wakuu ni kutumia program iitwayo DLLFixer, ambayo unaweza ukaitorrent ukaipata au baadae usiku nitaiupload ili kila muhitaji aweze kuipata kiurahisi. Asante

Nishakusaidia kuipandisha mkuu
 
Attachments

registration haitaki hiyo setup man
Nadhani hukudisconnect internet wakati unainstall so wamekudaka ndiyo maana imekugomea.
Kifupi hizo vitu unatakiwa uinstall na kuweka key ukiwa offline then kuiblock software kwenye firewall kabla ya kuconnect net but haiko neno chukua trick ya hapo chini ndiyo inakuhusu zaidi pia itawafaa na wadau wengine.
Muhimu:
Nimefungasha full version+crack pia kuna portable versin so ukishadownload hilo file liextract/Unzip nakusoma maelekezo kabla ya kutumia
 
Yap...ilikuwa vp nilidisconnect internet ingawa firewall ilikuwaa active, bt at installation inkaniambia inahitaji internet connection, nilivyounganisha tu ikawa kimeo....anyway ngoja nidownload hayo makitu ya crack kwanza,then i will comeback soon
 
Ok karibu tena Mkuu
 
Inazingua bado...crack haikubali, inafanya computer iwe inacease!!
 
extract hiyo crack then ukapaste kweye program file===>dll.fixer exe.
kama ikigoma Unistall hiyo softwate then tumia portable version ambayo nimeattach mule mule haina kwere
 
Ok pouwa ngoja njaribu, hiyo portable haihitaji crack sio?
 
Back
Top Bottom