Waramba
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 324
- 305
Kwenu Wadau wa JF napenda kuwasilisha Jamvini ili kupata msaada,Nmepotelewa na Simu Yangu Aina ni Iphone 7 kwa yeyote anaeweza kunisaidia kuifanyia Tracking nikaipata naomba anipe support..Details zote za hiyo simu ninazo.... Naomba anitafute DM au kwa Whatsapp Number 0686899266...Hakuna kazi ya bure nitamlipa vizuri atakae fanikisha huu mchakato.