How to enlarge penis without using any medicine?

bway hermit

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
1,380
Reaction score
2,392
Jinsi gani ya kukuza sindano(uume)bila ya kutumia dawa yoyote?
 
Ili kutengeneza dawa ya kukuza Uume fuata hatua zifuatazo
Tafuta dawa zifutazo.


1. Unga wa Pilipili mtama Nyeupe (Filfil Abiadh) kijiko kimoja
2.Pilipili Baridi vijiko viwili
3.Kibiriti upele kijiko kimoja
Changanya vizuri na asali mbichi ya nyuki.
Matumizi
1.Osha uume wako kwa maji vuguvugu dakika 3 mpaka 5
2.Uchue uume wako kwa mchanganyiko huo wa asali kwa dakika 7
3. Fanya zoezi hilo kila siku kwa matokeo mazuri na haraka zaidi.
4.Endelea na zoezi mpaka itakapofikia saizi uitakayo.
 
Wenzako wanafikiria jinsi ya kukuza mitaji wewe unafikiria jinsi ya kukuza dushe...
Kujichosha tu kufikiria kukuza mitaji nlonao unantosha ndo mana nimeleta Hilo suala lingine
 
Hivi vifaa zaid vinapatkana wapi mkuu?
 
Kuchua ndo kupigisha nyeto?
 
Chemsha kadi yako ya chama unywe supu inasaidia sana ,chama kikikua na dushe inakuwa kikifaa na dushe inakufa ka hiyo ni jitihada zako kuona chama chenye matumaini ya kuishi muda mrefu
 
Vibamia bwana, sasa we umeona wapi tango linakuwa na afya bila dawa, tena dawa za kichina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…