bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,338
Jinsi gani ya kukuza sindano(uume)bila ya kutumia dawa yoyote?
Ohooo!!!piga sana mpunyeto mkuu wang baada ya wiki moja njoo unishukuru hapa kwa pepsi baridi.
Ohoooo!!!Wenzako wanafikiria jinsi ya kukuza mitaji wewe unafikiria jinsi ya kukuza dushe...
Kujichosha tu kufikiria kukuza mitaji nlonao unantosha ndo mana nimeleta Hilo suala lingineWenzako wanafikiria jinsi ya kukuza mitaji wewe unafikiria jinsi ya kukuza dushe...
Hivi vifaa zaid vinapatkana wapi mkuu?Ili kutengeneza dawa ya kukuza Uume fuata hatua zifuatazo
Tafuta dawa zifutazo.
1. Unga wa Pilipili mtama Nyeupe (Filfil Abiadh) kijiko kimoja
2.Pilipili Baridi vijiko viwili
3.Kibiriti upele kijiko kimoja
Changanya vizuri na asali mbichi ya nyuki.
Matumizi
1.Osha uume wako kwa maji vuguvugu dakika 3 mpaka 5
2.Uchue uume wako kwa mchanganyiko huo wa asali kwa dakika 7
3. Fanya zoezi hilo kila siku kwa matokeo mazuri na haraka zaidi.
4.Endelea na zoezi mpaka itakapofikia saizi uitakayo.
![]()
Duh ngoja nianzeUkifanya mapenzi kila siku inanenepa
Kuchua ndo kupigisha nyeto?Ili kutengeneza dawa ya kukuza Uume fuata hatua zifuatazo
Tafuta dawa zifutazo.
1. Unga wa Pilipili mtama Nyeupe (Filfil Abiadh) kijiko kimoja
2.Pilipili Baridi vijiko viwili
3.Kibiriti upele kijiko kimoja
Changanya vizuri na asali mbichi ya nyuki.
Matumizi
1.Osha uume wako kwa maji vuguvugu dakika 3 mpaka 5
2.Uchue uume wako kwa mchanganyiko huo wa asali kwa dakika 7
3. Fanya zoezi hilo kila siku kwa matokeo mazuri na haraka zaidi.
4.Endelea na zoezi mpaka itakapofikia saizi uitakayo.
![]()
Masokoni mkuu.Hivi vifaa zaid vinapatkana wapi mkuu?