how to dial *104# on blackberry

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
2,415
398
Habari wakuu nina blackberry 9630, 9650 na 8830WE toka kampuni ya Verizon zinanipa taabu sana kuweka salio na kuangalia salio, haziku bali kwa kupiga *104* au *102# zina kuwa kama vile unapiga namba ya simu kwa njia ya kawaida hivyo nalazimika kuweka salio kwa njia ya sauti,

Hivi majuzi nimejiunga na tigopesa na vodapesa kasheshe ni kwamba siwezi kupata menu ya tigopesa na vodapesa kila nikipiga *150*00# na *150*01# zinaita badala ya kuleta menu usika, ila nikitumia blackberry pearl 8100 ya kampuni ya T-Mobile inafanya kazi kama kawaida na napata menu usika bila tatizo lolote, tatizo nini wakuu? Naomba msaada wenu wakuu
 
Alt *, alt shift, 104, alt #

Tatizo siyo kupress * na #, shida ni kwamba baada ya kuandika *102# uki press dial botton inafanya kuita kama vile umepiga namba kwa njia ya kawaida
 
Uncle Rukus,ukitaka shortcut ya hiyo kitu ya Verizon ku dial tigo pesa ama kuingiza salio,kwanza dial 102 then ikiwa connected,dial *150*01# kama kawaida itakubali,ama dial *104# kuongeza salio,itakubali!
Remember,kabla hujatumia *102# ama *104# ama hiyo menu ya tigo pesa,dial 102 then ikishakuwa connected ndio una dial hizo nyinginezo!
 
Back
Top Bottom