Adolph
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 895
- 346
WAkuu nimeletewa HDD ambayo imefungwa (encrypted) na aliyeileta haelewi chochote..naombeni msaada je kuna njia yoyote ya kuifungua encrypted hdd bila kutumia password zilizotumika kuifunga? maana hapa hata ukiformat hakuna kitu na mimi kikubwa nataka niiformat tu...msaada wakubwa