How to co-parent successful

How to co-parent successful

Lifestyle imebadilika sana, now we're talking co-parenting! Kila anachofanya mtu mweupe, kile kibaya, we do it even better!!
 
Hii kitu ni changamoto sana ila hakuna namna. Kuna mahali nilishuhudia wazazi wametengana, hivyo mtoto amewekewa ratiba ya kubadili makazi kila baada ya mwezi ,anakaa kwa baba mwezi alaf anaenda kwa mama mwezi tena.Imefikia hatua mtoto analia sana siku akihitajika kurudi kwa baba ....Waweza jiuliza ni aina gani ya mtoto anatengenezwa kwenye hii cop.
Kiuhalisia wahanga ni watoto hata kukiwa na taratibu za malezi
 
Ni upuuzi. Kama waliona umuhimu wa kuwa na watoto na kuwalea wangeacha huo ufala wa kutengana. Sasa wanatengana kusudi halafu wanaanza kuleta story za malezi , wapumbavu tu.
 
Back
Top Bottom