How To change CDMA phones to WCDMA

How To change CDMA phones to WCDMA

Joined
Aug 6, 2014
Posts
39
Reaction score
3
Guyz plz help me I gat zte v6700 ambayo inatumia line moja tuu ya TTCL tuu and mm nataka kuichange niweze kutumia line za mitandao mbali mbali,na kuinstall custom ROM je there is any possibility to do this.
 
huwez kuchange cdma kuja gsm kwa software tu inabidi uwe na hardware za gsm pia.

kuna zantel wana cdma pia kama unataka choice
 
kama alivosema jamaa hapo juu... unless ingekua na both systems sawa, sema kama ina system moja hapo hadi hardware which means its possible kwenye kampuni iliyotengeneza tu.. wewe mwenyewe huwezi.
 
Ndio maana kabla hujanunua simu angalia specifications zake kama zinakufaa. Sio unanunua simu haina front camera unakuja kuuliza hapa jinsi ya kuweka front camera.
 
Ndio maana kabla hujanunua simu angalia specifications zake kama zinakufaa. Sio unanunua simu haina front camera unakuja kuuliza hapa jinsi ya kuweka front camera.
Duh! we una mnyonyoa sasa!
 
Ndio maana kabla hujanunua simu angalia specifications zake kama zinakufaa. Sio unanunua simu haina front camera unakuja kuuliza hapa jinsi ya kuweka front camera.
Dah,,.huyu jamaa kanfurahsha na jibu lake,,
 
Ndio maana kabla hujanunua simu angalia specifications zake kama zinakufaa. Sio unanunua simu haina front camera unakuja kuuliza hapa jinsi ya kuweka front camera.

True mkuu
 
Kaka nna uhakika hyo simu haina system ya WCDMA na hauwez ukafanya chochote...ila hebu jaribu kuingia ktk dial yako then andika *#*#3646#*#* then itakuletea secret menu ya kuchagua network profile...then jaribu kuchange network toka CDMA na chagua WCDMA au hata GSM uone itakubali au la...kila la kheri
 
sasa kama "ingekuwa na both systems" ungehitaji kubadilisha nini? Mafundi wa kiswahili bana, tabu tupu

kuna simu zina gsm na cdma pamoja lakini carrier wanazilock kwenye cdma tu. simu kama hizi unaweza tafuta software solution ukaweza tumia line za gsm
 
sasa kama "ingekuwa na both systems" ungehitaji kubadilisha nini? Mafundi wa kiswahili bana, tabu tupu

Kama ina both manake angeweza kubadili toka moja hadi nyingine, ni kama some korean phones za Pantech, zipo unachagua kwenye settings unataka utumie mfumo upi... Statement iko sawa kabisa ni wewe tu umejichanganya mkuu
 
kuna simu zina gsm na cdma pamoja lakini carrier wanazilock kwenye cdma tu. simu kama hizi unaweza tafuta software solution ukaweza tumia line za gsm

Tru chief.. Na ndio nilichokuwa najaribu kumuelewesha jamaa achek kama inasupport both systems na kama features za WCDMA zimekuwalocked...using 3rd party softwares anaweza kuunlock
 
Back
Top Bottom