How To Become A Vampire- By Rakims

How To Become A Vampire- By Rakims

Weye nakujua mbishi sana ndio maba siku ulipopika kaimati ukaweka ndoo nzima ya maji lol

Haha,,kalimati tena? Lkn mi nazpendaga kwel,,nan anazpika?

Vampires washawahi kuwepo ila zamani sana,
 
Umeangalia tamthiliya za Vampire diaries unaona utudanganye watu wazima na ndevu zetu
 
hiv viumbe vinge exist had leo sjui ingekuaje
 
he bite but not feed

Umejuaje,,...? Je kama Alinyonya Damu?!
Halafu umesema huwa Hawapend kujionesha/kuonekana..! Sasa kama angeFeed,..Mass yote ile c kungekuwa na WWV ( World War Vampire).

Conclusion:Vitu Hvyo Bado Vipo Kwenye Fikra Za Baadh ya Wa2/Watafiti. Bt Physically they Do not Exist! Jamani tuna Vyombo vikubwa vya Habari Lkn ha2jawah skia Sehem flan Ma-Vampire Wamekuweje/wamefanya nn?!Vngnevyo ni kuuza Habari habazo Hazina Evidence. Hakuna Kitu Kama Hicho.

Matt@Mwanza.
 
Mbona Vampire nipo hapa, sema bado sijawa na njaa tu.
 
Rakims
Ulishaambiwa uache kufuga majini lakini hutaki kuacha....ninalituma JINA LA YESU KRISTO liipige na kuangamiza roho zote chafu zilizo ndani yako na likukomboe toka kwenye mikono ya lucifer popote pale ulipo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom