how to become a hacker? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

how to become a hacker?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by chilubi, Dec 2, 2011.

 1. c

  chilubi JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,037
  Likes Received: 1,018
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wana JF!! Mimi napenda sana niwe Hacker vile vile niweze kutengeza mobile apps na OS, siwezi kuchukua full course ya computer science mana nasomea kitu chengine, so naomba munisaidie ni wapi ntapata kujifunza ivo vitu japo kwa shortcourses!
   
 2. v

  valid statement JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Usikute unataka kuwa hacker ili uka hack password za mpenzi wako ila unazuga?
   
 3. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kwanza kwa kuanzia unachukua kozi gani..?
   
 4. c

  chilubi JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,037
  Likes Received: 1,018
  Trophy Points: 280
  Valid sitaki kuwa hacker ili ni hack account ya mpenzi, mi namuamini mpenzi wangu,,,, km anansaliti mbn poa tu maduu wamejaa kibao duniani! Anyway nataka kujua bcz nataka nijilinde na izo njia wanazotumia,,,,,

  Kaka mi saiv nasomea uhasibu mana ndo dili TZ, ila mambo ayo ya hacking na programming ni hobby yangu, napenda kuhave fun wit electronic devices! So any help?
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Unataka kuwa cracker au hacker..hebu funguka.
   
 6. HT

  HT JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye kutengeneza OS huwezi. Mengine yanawezekana. Ni kujifunza na kufanya mazoezi. Ila itachukua Muda sana.
   
 7. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Dah..! Kama upo uhasibu, itakuwa ni ishu kidogo kwan utahtajika kusoma programing language kadhaa kama unataka kuwa a good hacker.
   
 8. c

  chilubi JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,037
  Likes Received: 1,018
  Trophy Points: 280
  Abdul a hacker and cracker normally have the same knowledge only a cracker is the bad guy and the hacker is the good guy. Linux was developed by a hacker because it was useful, kwaiyo abdul mi nataka kuwa hacker,,,,,

  Kaka najua km itakua ishu ila ntajitahidi kuupanga mda wangu, nko tayari ku suffer swaiba km unajua college yoyote ambayo inatoa short course ktk ishu izo nambie, collg ilokua nzuri kdg si za vichochoroni,,,,, ishu ya kutengeza OS iyo kwa uwezo wa mungu nitakuja kuichukulia full course kabisa ila saivi angalau nipande knowledge iyo ya programming na becoming an ethical hacker
   
 9. muwasho

  muwasho Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wajaribu hawa ..................................Welcome to our website
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kuwa hacker miaka ya leo sio kazi sana kama zamani sababu kuna automted tools za kukuwezesha kuhack. Ni kama kuwa fundi wa gari. Unachojitaji ni knowldge kidogo tu

  Knowldege kidogo itakusaidia kujua nyenzo gani utumie kuhack nini. Knowldege kidogo itausadaii kutafuta au kujua ukaibe kupita "dirishan"i au uvunje "mlango" au usubiri mwenye nyumba aje umpige roba uingie naye ndani . teh teh teh

  Moja kati ya nyenzo inayotumika kuhack inaitwa backtrack sasa hivi ipo version 5 . Hii BT ni OS based on Ubuntu linux. Watengenezaji wanasema dhumuni lao kubwa ni watu kujifunza digital forensic,IT auditing na ethical hacking .

  Kwa hiyo kwa kuanza tafuta hiyo OS amabyo ni free then baada ya hapo unaweza anzia hapa kwenye hi forum ya Hacking . Hapo utakutana na video kama hii chini. Zifanyie kazi na zijaribu bila kuleta madhara


  Lakini kama huna muda acha tu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. c

  chilubi JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,037
  Likes Received: 1,018
  Trophy Points: 280
  Wakuu nashkuru kwa msaada wenu,,,, lkn mmoja aliniwekea website nliona iyo course ya kufundisha ethical hacking inasimama kwa 1 milion! Ni hela ndefu mi cna saiv and for the fact dat nko college saiv.

  Asante kwa iyo backtrack, nitaidownload but itabidi niweke ubuntu lakini wakuu mi ningependa kujua kuhack kwa kutumia codes zangu mwenyewe! Na vipi kuhusu programming?
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hack for a reason...
   
 13. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Guys, hacking and cracking sio kitu unachofundishwa, especially if you aren't in programming.

  Wewe unachofundishwa ni language. It's up to you 'kucheza' na codes ili uhack/crack kitu. Wewe unafundishwa uwezo wa nguvu za nyuklia on the good side. It's up to you kuubadilisha na kutengeneza bomu!

  HAUTAPATA MTU ATAKAYEKUFUNDISHA KUHACK/CRACK! Ladda white hacking lakini sio dark hacking.
   
 14. HT

  HT JF-Expert Member

  #14
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  cracking is generally used in software stealing and breaking down of validation codes. Hacking is borader term from changing source code to do a 'workaround' to diging sec holes to penetrate a system. The difference btn bad and good guy is narrow hat called black hat or white hat!
   
Loading...