How the Dreamliner is Killing Tanzanians dream?

MAendeleo ni ishu mtambuka. Msikariri sana.
 
How can you substitute the priority of water for aircrafts, you must be stubbonly insane to even think about that!

The man is interested in show off rather than doing what really matters most!
Haleluyah....JPM amefufuliwa na Mungu.
 
I have always maintained that engaging the private sector in running ATCL is more viable economically. ATCL which is already making huge loses was supposed to have been under private sector at least by 51% and should have started with only the 1st two Bombadeers for at least five years.

Anyway, we have much to many big infrastructural projects financed by internal revenues and loans from national and international banks. These projects loans attract huge interest rates the cost which has to be shouldered by tax payers while provision of social services especially to those who need it most is still mediocre at best.

The next president, come 2020 should consider selling some of the aircrafts to invest the proceedings is Education, water and sanitation; health services and agriculture.
 
We we ni kibaraka wa Mabeberu, sisi tunasonga mbele.
 
Kun uzi upinzani mliuanzisha kitambo mkiishangilia rwanda kununua ndege na mkajiuliza nchi kubwa kaa tz tunashindwa wapi na nchi ndogo. Leo kibao kimegeuzwa.
Umeoonaee wapinzani kazi kupinga kila kitu
 
Can you back up your argument with some maths, I mean give us reliable data to support your argument.
Karibu. Ila utumie kizungu laini usituletee mibombastic yako..ama kwa faida yangu na wengine baadhi tumia kiswahili.
 
Go join the king of traitors tundu lissu, he is there, and tell them that Tanzania has bought a second dreamliner, it flew direct from Seattle, on the north west coast of the United states, to Dar es salaam on the east coast of central Africa.
 
Too much unquestionable spending on these dreamliners has made Tanzanians' dreams beam up. This statement will be validated within a few years ahead.
 
Mimi kwanza nyumba inavuja hayo mandege sijui kama yana thamani kama bei ya bati kushuka
 
Hahaha hizi ndege nazo hazitoki nje, ni humu humu ndani kwa analysis yako tutakuwa masikini soon.
 
wanaelewa...
ila siasa za kijinga...
Unatoaje ajira wakati huna source of income?
Ama ni ujamaa kila mtu aajiriwe?
Kupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ndipo tutageukia maendeleo ya watu.

P
 
Hahaha hizi ndege nazo hazitoki nje, ni humu humu ndani kwa analysis yako tutakuwa masikini soon.
Si kweli hata zikiruka ndani zinabeba watalii wanaotoka nje na dola zao pia. Vinginevyo hizo dola zingechukuliwa na kenya airways.
 
Ndege ... unapata faida kwa abiria plus direct flights zitakuza utalii..

mradi wa kila.mtz kupata elfu 10 haupo...
mama nini? Kilimo?
Subsidies ya pembejeo inamsaidiaje mwananchi? Wanabweteka wanasubiri pembejeo the next year.

Pigeni siasa mavi
 
Kupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ndipo tutageukia maendeleo ya watu.

P

Hivi rais akichagua ina maana wananchi tumechagua!?
Maamuzi ya hovyo yanayofanywa na watawala yabakie kuwa ya kwao.
Kununua mandege ni jambo ambalo ni rahisi kufanya kwa kuwa pesa ya kodi ipo. Je zitaleta tija iyotarajiwa!? Tuna subiri kuona!
Lakini kwa biashara ya usafiri wa anga ilivyo pasua kichwa, Jiwe ataendelea kuatamia akaunti za ATCL mpaka anaondoka madarakani!
 
Si kweli hata zikiruka ndani zinabeba watalii wanaotoka nje na dola zao pia. Vinginevyo hizo dola zingechukuliwa na kenya airways.
Mimi nilijibu analysis yako ulitoa mfano wa wanakijiji na milioni 100. Ukasema wasipotoka nje watakuwa masikini, sasa unasema sio kweli.
Umeona ndege zimeletwa na rubani wa Boeing, akiondoka tu ina park hahaha,
Watalii wanaenda wap kila siku na hizo ndege?! Wakitua na KLM kia wana panda magari, wewe unaongelea watazipanda kwenda wapi?!
 
Kupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ndipo tutageukia maendeleo ya watu.

P
Ndugu Pascal, SIMPLE FACTS - unapoamua kuwekeza kwenye biashara, hata hii miradi kama steigler na ndege ni biashara, inatofautiana na miundombinu ya barabara.

Kwanza inatakiwa feasibility study, mojawapo ni wanunuzi wako wa ndani, ni nani na uwezo wao, second ni kujua export market yako.

Hizi ndege watakao panda ni watanzania ama watalii, tunajua wanao kuja kibiashara sio wengi, msimu wa kutali minne au mitano tuu katika mwaka mzima, 90% ya Wa TZ hawana uwezo wa ticket ya ndege.

Imeme nao wa majumbani sio tija kwa mradi kama steigler, unahitaji viwanda, na nina mashaka kwa sasa kama investors wako encouraged, kwa viwanda ndio walipaji wazuri .

Its worrisome
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…