How stupid do these people sound? If you know anything about Project Management

Eric Cartman

JF-Expert Member
May 21, 2009
11,967
11,212

Like seriously can a management team amend the WBS of a designed project? Do these people understand contract consideration and the significance of WBS in the first place.

I can understand the weakness on supervision matrix from TANESCO’s side just by listening to those two bozzos (i.e the minister and TANESCO’s M.D) it just reveals their level of incompetence on managing the project as clients. Nonetheless there are more serious problems than we originally thought on the clients management side.

Just clueless people on how to be up to date on the percentage of work done on weekly basis; yaani utegemee facts za mwezi uliopita kuongelea mradi ulipo wewe kama mkurugenzi the nonsense I heard is beyond me.

Hivi hawa watu wanafikiaje hizi nafasi wakati uelewa wao wa maswala ya management ni mdogo sana at senior level, halafu kwenye shirika ambalo very technical kulisimamia on everyday basis.
 
Like seriously can a management team amend the WBS of a designed project? Do these people understand contract consideration of WBS in the first place.

I can understand the weakness on supervision matrix from TANESCO’s side just by listening to these bozzos (i.e the minister and TANESCO) it just reveals their level of incompetence on managing the project as clients by listening even more serious of the problem than we thought.

Just clueless on how to be up to date on the percentage of work done on weekly basis; yaani utegemee facts za mwezi uliopita the nonsense I heard is beyond me.

Hivi hawa watu wanafikiaje hizi nafasi wakati uelewa wa management ni mdogo sana at senior level.

Ndiio kazi ya CCM hiyoo. Wamejazana vilaza na watoto wao, wanagawana vyeo na madaraka. Pangu pakavu wanaishia kupewa vilemba na kofia za kijani na njano
 
Tatizo lao ni namna wanavyojiamini wakati wanaongea ujinga; yaani waziri anadiriki kusema tumebadili namna watakavyofanya ya mkandarasi atakavyofanya kazi kisayansi does he even understand what elements of planning goes behind the design of Work Break Down structure in engineering projects (its science in the first place) for him to make changes at whim is just talking nonsense whic is beyond me.

Mkurugenzi nae anasema anategemea update za mwezi uliopita kupata kuelewa the evolution of project hivi huyu ina maana hajui ata mantiki ya supervision matrix and how it is supposed to be updated mpaka kwa nafasi yake on regular basis.

Upuuzi wa hawa watu ukiwasikiliza is beyond me, unafikaje nafasi ya kuwa mkurugenzi Tanzania ata abc za project management huna surely hizo ni level 6 skills ambazo lazima uwe nazo katika nafasi ya ukurugenzi.
 
Kuna uwezekano una mambo mawili, either umesoma theory za project management hujaingia field kumanage hata project ya mil 500 au uelewi chochote kuhusu project management.

Leo ni March 19th, M.D Tanesco anatoa status ya February, sioni unacholalamika. Reporting structure kwa level ya M.D na analysis na kwamba wamefikia % ngapi ya mradi sio zoezi la kila week, kinachofanyika katikati ya mwezi ni kutoa feedback ya activities walizokubaliana zifanyike katika mwezi husika, na kutatua changamoto wanazokutana nazo, inapofika mwisho wa mwezi ndio wana compile report ya mwezi mzima na kufanya evaluation ya % ya utekelezaji wa mradi.

Umeandika mambo mengi ila mengi ni nonsense.
 
Watu hawajui ata namna ya ku monitor the development of the project.

How does an M.D waits until a month has past before being aware of the project development ain’t that stupid.
Asante kwa kunipeleka juu kwa viwango vya Brunel University japo Uni niliyosoma ilikuwa bora kuliko Brunel, na wakati huo huo nilikuwa mkazi wa wilaya Hillingdon Borough, ambapo Brunel University ilikuwa ndani kitongoji cha Cowley kilichokuwa mitaa kadhaa kutoka ninapoishi katika kitongoji cha West Dryton.
Ni hivi hiyo unayoongelea ndio tuliokuwa tunachambua hata huku Brunel University :cool:, ambayo tunaita "White Elephant Project"
UK waliaanzisha mradi wa kujenga reli kutoka London mpaka kaskazini ya nchi ya UK, ulioitwa HS2 Project(White Elephant), ambapo mpaka sasa, Mawaziri wakuu watatu wamepita bila hata ya mafanikio ya kuonyesha wanainchi mradi umefikia wapi............
USA, Trump aliianzisha ujenzi wa ukuta (White Elephant)kuzunguka mpakani mwa nchi yote ya Mexico ili kuzuia uhamiaji haramu.....

Ukiangalia miradi yote hiyo ilikuwa na kitu kinaiitwa "Constrains" (Changamoto) ndio labda tafsiri yake

Kwa Wenzetu, zaidi ilikuwa ni Scope constrains ambazo zinajumuisha Legal isssue(kesi za pingamizi za mradi), ambayo inaongezea changamoto nyingine ya Time constrains(Muda) unakuwa unaongezeka na kusababisha muda wa serikali husika kumalizika na kuaanza na serikali mpya ambayo inakuwa na vipaumbele tofauti.....

Kwa Tanzania, kikubwa kilikuwa ni "Cost constrains", hela za kueendeshea mradi, sababu tumekuja kujua kumbe mwendazake alikuwa anakopakopa, tena mikopo ya hovyo kabisa kutoka nchi chafu kama Turkey na India ili kuendeleza kiini macho kuwa mradi ni fedha za ndani...
Sasa ndio "Mama" ilibidi na yeye azunguke kwa mabeberu kupata msaada na mikopo kueendelaza hizi White Elephant project, japo na kuvumilia shombo na mataputapu ya sukuma gang, kuwa anaiuza nchi, wakati tulishauzwa zamani tu kabla ya Mama...
 
Tanzania hakuna meritocracy, viongozi wengi wanafikia hapo kwa Majungu, Fitna na Wizi, hivi huyu Waziri wa tanesco ni nchi gani Dunia hii angeweza kuwa Waziri hata tu a group leader of any project ? Hata Mafiosini wale wanaopanda vyeo siyo kwa ufanisi bali ni Fitna na Majungu.
Huyu Kiongozi wenu hatoshi kabisa na hivyo hata anaowachagua pia hawatoshi ni Fitna, Majungu na Visasi badala ya ufanisi.

Magufuli (RIP) alijaribu angalau kutengeneza meritrocracy alianza kuondoa waliopata kazi kwa vyeti feki, kuteua Wasomi Ma PhD holders kuongoza institutions kaingia huyu hajaona umuhimu katangaza kurudisha kazini walioghushi vyeti, Mafisadi walioiba na kuharibu mashirika kawarudisha wote, walioshiriki kwenye dowans kawateua ma board members wa tanesco watu ambao walikuwa wanashiriki kuibia na kuuwa tanesco wamepewa kuisimamia, pure evil!
 
Kuna uwezekano una mambo mawili, either umesoma theory za project management hujaingia field kumanage hata project ya mil 500 au uelewi chochote kuhusu project management.

Leo ni March 19th, M.D Tanesco anatoa status ya February, sioni unacholalamika. Reporting structure kwa level ya M.D na analysis na kwamba wamefikia % ngapi ya mradi sio zoezi la kila week, kinachofanyika katikati ya mwezi ni kutoa feedback ya activities walizokubaliana zifanyike katika mwezi husika, na kutatua changamoto wanazokutana nazo, inapofika mwisho wa mwezi ndio wana compile report ya mwezi mzima na kufanya evaluation ya % ya utekelezaji wa mradi.

Umeandika mambo mengi ila mengi ni nonsense.
Kiazi mwingine this how it works if you know anything about supervision matrix za project management kwa kifupi before someone issues any project payments. The M.D has to be informed what task is being paid for and it’s contribution towards the completion and there is the system of sharing that information on what work is being done from the ground to the the senior. That is the purpose of supervision matrix.

Do you even what a supervision matrix entails in project management, kabla ya kuja kuandika ujinga.
 
Asante kwa kunipeleka juu kwa viwango vya Brunel University japo Uni niliyosoma ilikuwa bora kuliko Brunel, na wakati huo huo nilikuwa mkazi wa wilaya Hillingdon Borough, ambapo Brunel University ilikuwa ndani kitongoji cha Cowley kilichokuwa mitaa kadhaa kutoka ninapoishi katika kitongoji cha West Dryton.
Ni hivi hiyo unayoongelea ndio tuliokuwa tunachambua hata huku Brunel University :cool:, ambayo tunaita "White Elephant Project"
UK waliaanzisha mradi wa kujenga reli kutoka London mpaka kaskazini ya nchi ya UK, ulioitwa HS2 Project(White Elephant), ambapo mpaka sasa, Mawaziri wakuu watatu wamepita bila hata ya mafanikio ya kuonyesha wanainchi mradi umefikia wapi............
USA, Trump aliianzisha ujenzi wa ukuta (White Elephant)kuzunguka mpakani mwa nchi yote ya Mexico ili kuzuia uhamiaji haramu.....

Ukiangalia miradi yote hiyo ilikuwa na kitu kinaiitwa "Constrains" (Changamoto) ndio labda tafsiri yake

Kwa Wenzetu, zaidi ilikuwa ni Scope constrains ambazo zinajumuisha Legal isssue(kesi za pingamizi za mradi), ambayo inaongezea changamoto nyingine ya Time constrains(Muda) unakuwa unaongezeka na kusababisha muda wa serikali husika kumalizika na kuaanza na serikali mpya ambayo inakuwa na vipaumbele tofauti.....

Kwa Tanzania, kikubwa kilikuwa ni "Cost constrains", hela za kueendeshea mradi, sababu tumekuja kujua kumbe mwendazake alikuwa anakopakopa, tena mikopo ya hovyo kabisa kutoka nchi chafu kama Turkey na India ili kuendeleza kiini macho kuwa mradi ni fedha za ndani...
Sasa ndio "Mama" ilibidi na yeye azunguke kwa mabeberu kupata msaada na mikopo kueendelaza hizi White Elephant project, japo na kuvumilia shombo na mataputapu ya sukuma gang, kuwa anaiuza nchi, wakati tulishauzwa zamani tu kabla ya Mama...
We kiazi kweli then I miss placed you na mtu mwingine unaonekana mgeni ambae huna zaidi ya 15+ years plus in U.K.

Hakuna top engineering university kama Brunel in U.K. kwanza hilo jina ni heshima ya engineer mbobezi ‘Isambard Kingdom Brunel’ ambae ana mchango mkubwa sans in civil engineering hasa kwenye kujenga madaraja.

So entry zake kusoma degree za engineering Brunel ni very competitive tofauti na degree zingine; mie binafsi nimepita hapo at the time I wasn’t taking studies serious in my late teens nikaishia kati kuna jamaa nilikuwa nakutana nae maktabs anaishi Reading zama hizo nikadhani ni wewe (there were not many ppl studying computer engineering at the time).

Sasa kusema Brunel ipo Cowley, wakati chuo kipo Uxbridge karibu kabisa na Hillingdon ulipokuwa unaishi shows how pathetic you are if anything nimekukuza tu kusema umesoma engineering Brunel.

Hayo mengine ya project costs sio size yako, trust me yaache.
 
Kiazi mwingine this how it works if you know anything about supervision matrix za project management kwa kifupi before someone issues any project payments. The M.D has to be informed what task is being paid for and it’s contribution towards the completion and there is the system of sharing that information on what work is being done from the ground to the the senior. That is the purpose of supervision matrix.

Do you even what a supervision matrix entails in project management, kabla ya kuja kuandika ujinga.
too low, jazba nyingi kichani hamna kitu, unazani maneno makali na kingereza kibovu kitakubeba, hamna kitu, childish.

Hujajibu hoja yoyote unakuja na supervision matrix, nani kaongelea swala la payments, etc....

I repeat, M.D TANESCO hajafanya kosa lolote kutoa statistics za mwezi february, hizo ndio latest, hapa tupo mid march, subiri early April upate status za March.

Kama una jingine sema.
 
Nenda kajifunze kwanza what a supervision matrix entails and how it is designed to ensure the top management is aware on what is being done on the ground at anytime.

Nina mengi ya kusema tatizo lenyewe wewe ata basic za supervision approach project management huna, kuelewa how to control the things as they evolve.

Ndio ujue siwanangi hao watu ila hawana uwezo, mtu kama huyo ndio awe mstari wa mbele kwenye vitu complicated kama miradi ya natural resources you people are not serious.
 
Nimemsikiliza waziri,akilinganisha pesa alizolipwa mkandarasi katika mwaka mmoja wa SSH,na huko nyuma.

Pia mkandarasi abaye ni Arab Contractor ni taasisi ya serikali ya Misri ana mapungufu mengi mno,kalalamikiwa sana na Waziri Mkuu enzi za mjomba Magufuli hadi utawala huu wa Mama Samia.
Bado kuna huyo project consultant nae ni big issue.Utadhani amewekwa mfukoni na Mkandarasi.

Tanesco sio wa kumlaumu sana,tumesikia wanasiasa ndio wana kauli ya management ya Tanesco kila mara inabadirishwa.

Lakini yote haya mapungufu na kucheleweshwa mradi kukamilika,yawezekana yametokana na watawala kudhani mkandarasi huyo kujaza wataalamu wamisri wenye madegree ya Daktari kibao ndio kipimo au sifa kuu ya mkandarasi,hawakujua Misri hata bouncer ana degree tatu.
 
Nenda kajifunze kwanza what a supervision matrix entails and how it is designed to ensure the top management is aware on what is being done on the ground at anytime.

Nina mengi ya kusema tatizo lenyewe ata basic za supervision approach huna, kuelewa how to control the project.
Nani kakwambia top management haipo aware na kinachoendelea Rufiji? alichokisema yeye, as per February status project imefika 56%, tena amedeclare kabisa kuna vitu vimeshafanyika, hivyo watavyopata report ya march, na kuithibitisha watatoa status mpya ya project completion.

ndio maana nakwambia kichwani hamna kitu na kingereza chako kibovu.
 
Nimemsikiliza waziri,akilinganisha pesa alizolipwa mkandarasi katika mwaka mmoja wa SSH,na huko nyuma.

Pia mkandarasi abaye ni Arab Contractor ni taasisi ya serikali ya Misri ana mapungufu mengi mno,kalalamikiwa sana na Waziri Mkuu enzi za mjomba Magufuli hadi utawala huu wa Mama Samia.
Bado kuna huyo project consultant nae ni big issue.Utadhani amewekwa mfukoni na Mkandarasi.

Tanesco sio wa kumlaumu sana,tumesikia wanasiasa ndio wana kauli ya management ya Tanesco kila mara inabadirishwa.

Lakini yote haya mapungufu na kucheleweshwa mradi kukamilika,yawezekana yametokana na watawala kudhani mkandarasi huyo kujaza wataalamu wamisri wenye madegree ya Daktari kibao ndio kipimo au sifa kuu ya mkandarasi,hawakujua Misri hata bouncer ana degree tatu.
Watu kama nyie ndio wanaowapenda msiokuwa na abc za mambo husika zaidi ya kuropoka.

Hao watu wanapiga porojo tu, tatizo lipo kwao sio mkandarasi.
 
Like seriously can a management team amend the WBS of a designed project? Do these people understand contract consideration and the significance of WBS in the first place.

I can understand the weakness on supervision matrix from TANESCO’s side just by listening to those two bozzos (i.e the minister and TANESCO’s M.D) it just reveals their level of incompetence on managing the project as clients. Nonetheless there are more serious problems than we originally thought on the clients management side.

Just clueless people on how to be up to date on the percentage of work done on weekly basis; yaani utegemee facts za mwezi uliopita kuongelea mradi ulipo wewe kama mkurugenzi the nonsense I heard is beyond me.

Hivi hawa watu wanafikiaje hizi nafasi wakati uelewa wao wa maswala ya management ni mdogo sana at senior level, halafu kwenye shirika ambalo very technical kulisimamia on everyday basis.

Bwana matusi. Hata hiyo WBS unayoongelea inaelekea umekariri tu. Hivi huwezi kutoa maoni yako bila matusi? Inaelekea wewe ni kati ya watu wasiojua vitu vizuri lakini wanataka kujionyesha kwamba wanajua.
 
Nani kakwambia top management haipo aware na kinachoendelea Rufiji? alichokisema yeye, as per February status project imefika 56%, tena amedeclare kabisa kuna vitu vimeshafanyika, hivyo watavyopata report ya march, na kuithibitisha watatoa status mpya ya project completion.

ndio maana nakwambia kichwani hamna kitu na kingereza chako kibovu.
Ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu kueleweshana na wewe.

Kama nilivyokwambia nenda kajifunze mantiki ya project supervision matrix and how senior management is kept up to date as the project evolves on daily basis.

Vinginevyo unatetea ujinga usioelewa ndio maana uoni mapungufu ya kauli zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom