Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 3,816
- 8,470
Hakuna chochote Brunel Uni, ni ya kawaida sana, sema ulitoka utopoloni ndio ilikutisha...We kiazi kweli then I miss placed you na mtu mwingine unaonekana mgeni ambae huna zaidi ya 15+ years plus in U.K.
Hakuna top engineering university kama Brunel in U.K. kwanza hilo jina ni heshima ya engineer mbobezi ‘Isambard Kingdom Brunel’ ambae ana mchango mkubwa sans in civil engineering hasa kwenye kujenga madaraja.
So entry zake kusoma degree za engineering Brunel ni very competitive tofauti na degree zingine; mie binafsi nimepita hapo at the time I wasn’t taking studies serious in my late teens nikaishia kati kuna jamaa nilikuwa nakutana nae maktabs anaishi Reading zama hizo nikadhani ni wewe (there were not many studying computer engineering at the time).
Sasa kusema Brunel ipo Cowley, wakati chuo kipo Uxbridge karibu kabisa na Hillingdon ulipokuwa unaishi shows how pathetic you are if anything nimekukuza tu kusema umesoma engineering Brunel.
Hayo mengine ya project costs sio size yako, trust me yaache.
Halafu wewe uliyepita tu unifundishe maskani yangu kuwa Brunel iko Uxbridge?
Kuna Uxbridge town, Cowley village, Yiewsley village, na West Dryton town,
Brunel Uni haiko Uxbridge, ulikaririshwa mporimpori wewe,
Mkaazi wa maeneo hayo anajua iko Cowley, kwa wageni mnarahisishiwa kuijumuisha na Uxbridge ili msipotee...
Endelea Kula vumbi huku ukiteseka na wajanja wanavyopiga hela kwenye huo mradi wewe unaleta shobo za project management