How South Korea Developed!

Hakika wakuu, mawazo ya watu hawa wanaodai demokrasia pasi na kufikiri mara mbili, ni hatari zaidi ya umaskini na magonjwa. Mara zote sitaacha kusema, DEMOKRASIA NI KIINI MACHO kwa nchi za Afrika, tu bado mbali mno kuishi Demokrasia. Zaidi ya kutupandikizia Unyonge na Utumwa wetu, hakuna faida iletwayo. Inauma sana si tu kuyatazama haya machoni bali pia kuyawaza tu.
Anaita sasa.
 
Ni kweli Mkuu,ongeza Zimbabwe hakuna demokrasia ila ni nchi ya kwanza kwa uchumi Africa, tuje Rwanda haina demokrasia ila uchumi wake ni wa kwanza East Africa, twende Burundi maisha yapo safi sana,Congo hamna madini ila wapo juu sana kwa viwanda vya meli,Burkinafaso,Comoro, Ni nchi za mfano sana Africa kwa nchi zisizo na demokrasia ila ni nchi tajiri sanaaaa Africa, TUACHE KUFANANISHA WAAFRIKA NA WATU,WAASIA WANAJARI SANA NCHI ZAO KULIKO MATUMBO YAO NA FAMILIA ZAO,WANATAMANI KUONA NCHI ZAO ZIKIWA MBALI,SIO MTU ANANUNUA KIVUKO KIBOVU,ANAMILIKI HOTELI KUBWA BAADA TU YA KUWA WAZIRI,MNATAKA KUJIFANANISHA NA WATU (WAZUNGU,WAARABU NA WAASIA WENGINE) punguzeni ushabiki wa kipumbavu
 
Embu fuatilia kwa utafiti kiini cha matatizo ya hizi nchi ulizozitaja, sio unatiririka tu.
 
Sasa huo udikiteta usimamiwe na ccm so tutaishia kuwa na escrow milion
 
Naunga mkonyo hoja kuanzia rich mond,escrow, lugumi na mengine meng mamb ya kinakigoda kote huko alete udikiteta wa maana sio kuwaonea aibu na kulindana huo ndo udikteta tunaotaka
 
Kote kwenye mikataba ya gesi huko ashugulikie sio kuleta usaniisanii
 
Halafu blueprint ya maendeleo haya ilifanyika wakati nchi ikiwa chini ya military dictatorship. Hili ni jibu tosha kwa wale wanaosema kuwa nchi haiwezi kupiga hatua za maendeleo pasipokuwepo utawala wa kidemocrasia.
Wawe na akili sasa hao ma dictator
 
Naunga mkonyo hoja kuanzia rich mond,escrow, lugumi na mengine meng mamb ya kinakigoda kote huko alete udikiteta wa maana sio kuwaonea aibu na kulindana huo ndo udikteta tunaotaka
Chukua kahawa utulize nafsi uone mchezo unaishaje.
 
Halafu blueprint ya maendeleo haya ilifanyika wakati nchi ikiwa chini ya military dictatorship. Hili ni jibu tosha kwa wale wanaosema kuwa nchi haiwezi kupiga hatua za maendeleo pasipokuwepo utawala wa kidemocrasia.
Sio kila udictator una faida!! Udikteta uchwara unao endekeza vitisho na kuwekeza katika kuwakandamiza wapinzani na sio katika Dira na mipango ya kitaifa na mikakati ya kitaifa haunaga faida. Ingekua udikteta uchwara una faida basi Africa ingekua imeendelea sana kwakua madikteta Uchwara wali tawala hila bara na sasa wameibuka wengine wanaendeleza udikteta uchwara.
 
So what is your point!? Unataka kumfananisha Roosevelt na hawa madikteta UCHWARA wa huku Africa!? Roosevelt alikua na Plani na mipango inayo eleweka na sio leo aongee Pumba flani na kesho waziri wake aje asema alikua anatania au leo azuie hiki (mchanga wenye madini ya silver nacopper) na kesho yake kiruhusiwe!! Tatizo la waafrika ni kutokua na mipango na mikakati. Hatuwezi kuendelea kwa kutoa viamri uchwara vya kukandamiza demokrasia bali kwa kuweka mipango, mikakati na dira ambayo kila mtu anafanya kazi yake. Na sio mkulima analima nyanya anakosa soko alafu anaibuka kiongozi na kuwaambia waanze kuzisindika ilhali kuna wizara ya kilimo na wizara ya viwanda na Biashara ambazo zilitakiwa kuandaa mazingira, ushauri na soko.
 
Qwi Qwi Qwi..... you nailed it Mkuu, hawa jamaa wanaiponda Demokrasia as if hapa Afrika kuna Demokrasia!! Kama udikteta ndio Maendeleo basi Afrika tungekua mbali sana maana tumetawaliwa na madikteta Uchwara tokea miaka ya 1960's hadi leo.
Mwisho kabisa watz acheni kufananisha Viongozi walio Ongoza nchi zao kwenda kwenya Maendeleo na hawa Madikteta Uchwara wa Africa ambao hujiona kuwa watukufu na wenye akili sana kiasi cha kudharau wasomi na kukataa ushauri wowote, madikteta wasio shaurika ni mzigo mzito sana kwa Afrika.
 
Ni kweli hakuna nchi ilyo endelea kwa kushika hivi vitu vitatu kwa wakati mmoja;
(1) Demokrasia
(2) Soko huria
(3) Haki za Binadamu.
Lakini pia tusisahau kua bila Dira na malengo ya kitaifa ambayo huweka mipango na mikakati yetu wazi na mgawanyo wa kazi hatutaweza kusonga mbele kwa kasi tuitakayo. Udikteta bila Dira huzaa taifa masikini na lenye Rushwa za kufa mtu.
 
Katika pita pita yangu, nimekutana na hii wanaJF, inatia hamasa kwa nchi kama yetu yenye kila aina ya resources kuendeleza nchi na watu wako.
Bofya hapa chini ni dakika 10 tu, SOUTH KOREA DEVELOPMENT HISTORIA

Na kwa bahati mbaya sana mfumo huu wa mataifa masikini kuendelea kuneemesha mataifa tajiri utaendelea kuwepo na haunekani kuisha leo wala kesho, na moja wapo ya sababu ni sisi wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…