a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,642
- 1,629
Hakika wakuu, mawazo ya watu hawa wanaodai demokrasia pasi na kufikiri mara mbili, ni hatari zaidi ya umaskini na magonjwa. Mara zote sitaacha kusema, DEMOKRASIA NI KIINI MACHO kwa nchi za Afrika, tu bado mbali mno kuishi Demokrasia. Zaidi ya kutupandikizia Unyonge na Utumwa wetu, hakuna faida iletwayo. Inauma sana si tu kuyatazama haya machoni bali pia kuyawaza tu.
Anaita sasa.
Anaita sasa.