How sexy is your Name?

WEWE JEWEL...MBONA MAELEZO YA J UMEYAKATA?
JAMAA KAANDIKA HIVI TU....-J-
You are totally ****ing marvelous!
 
leo mbona tutakoma....saa zile ilikuwa nyota saa hii....ndio hii...mweee
 
Mimi naona nzinguliwa tu....naambiwa niko sexy, sijui miscelenius and Romantic but, I never or think I posses those particulars, naona ni ubatili mtupu, yaani mimi kuwa romantic, sijui sexy....ndiyo maana tunachagua maviongozi mabofu mabofu, koz hatujui kufanya selekiheni
 
Hivi vitu ni kama waganga wa kienyeji. Wanaweka vitu vingiiiiii, tena mbali mbali, vingine in contradiction ili tu ukipata kimoja au viwili useme it is a match. Sasa Mimi na hizo characteristic za M, wapi na wapi jamani???
 
Hebu ntajie sifa za MWALI.....of course najua mwali wa leo hii sio wa karne zile...... so tuendelee na vingine tu..
 
Hebu ntajie sifa za MWALI.....of course najua mwali wa leo hii sio wa karne zile...... so tuendelee na vingine tu..
Mi naona niko hivi zaidi:
You are individualistic, and you need freedom, space, and
excitement. You wait until you know someone well before
committing yourself. Knowing someone means psyching him out.
You feel a need to get into his head to see what makes him
tick. You are attracted to encentric types. Often there is
an age difference between you and your lover. You respond to
danger, thrills, and suspense. The gay scene turns you on,
even though you yourself may not be a participant.

Ila hapo mwisho... mmmhhh?
 
LOL Hapo inategemea unarefer jina gani..bombu au lile jengine?

Hahahaaa, we mchokozi wewe!
Kwani mie nina majina mangapi?
Na refer jina langu hili hili, Proudly Bombu, lol!
Btw: Uko powa? Msalimie mamdogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom