How many miles does Eliud Kipchoge run in a week?

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
110-120 miles per week!
E2zAjFSXoAY_wMP.jpeg
 
Daah halafu kuna watu wanasema anapata hela kirahisi rahisi hii ni kama Dar - Moro kila week.
 
Mafanikio hayaji kizembe lazima toil iwepo,alafu watu wanashangaa jamaa kuvunja marekodi ya dunia wakati he deserve it kabisa...
 
Namkubali sana huyu mwamba.
Yeye na Kenenisa ndio walionifanya nipende mazoezi ya kukimbia asubuhi kila siku.
Huwa inafurahisha sana kuwaona hawa malejendari wakitimua mbio.
 
Back
Top Bottom