How many legs does this elephant have?

How many legs does this elephant have?

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
06041179ca8baelephantyp8.jpg
 
only two legs.! Lakini kwa wale wenye matege ya macho itakuwa vigumu sana kutambua haraka..!!
 
Inategemea unaangalia kutokea wapi......nikiangalia kutokea kwenye kiwiliwili kushuka chini naona miguu minne. Kama unataka kuangalia kutokea ching kwenda juu, you may probably see 5 legs (wenye matege ya macho wanaweza kuona 8! Lolz)
 
Mitano, kwa mujibu wa macho yangu.

Ukihesabu vikanyagio ni vitano
Ukihesabu full structure ya mguu mzima, ni miwili tu ya nyuma iliyokamilika.

Halafu vikanyagio vya tembo kwa kizungu vinaitwaje? hoofs au pads?
 
Back
Top Bottom