How Magufuli transformed Tanzanian economy

How Magufuli transformed Tanzanian economy

Hizi ni propaganda za Sukuma gang hazina maana kabisa.
Hii ni video imeandaliwa na mabeberu kwa hiari yao na kwa gharama zao wakielezea namna Hayati Magufuli alivyobadilisha uchumi wa Tanzania kufikia kumi bora Afrika na kuwa na hadhi ya uchumi wa kati ndani ya miaka 5 badala ya miaka 10 tuliyokuwa tumepangiwa na haohao mabeberu.

Video hii inathibitisha shombo za kina Mbowe,Zito, Lisu, Lema hazikumtikisa Magufuli akiwa hai na hazitaweza kumtikisa akiwa mauti.

Wewe nachelea kukuona kama Sukuma gang member, unasema ni kazi ya CAG kufanya uchunguzi wa pesa zilipokwenda? Unajua majukumu ya CAG na mipaka yake kweli wewe? Then unamwita wa mchongo wakati aliteuliwa na huyo huyo Jiwe baada ya yule wa awali kitolewa kisa tu kamweleza ukweli juu ya upotevu wa 1.5tr. Ukweli wa CAG ulimponza kwani hakujua kuwa jiwe hakupenda kusikia ukweli juu wizi wake. Labda useme CAG wote wawili walikuwa wa mchongo
Magufuli amekufa na kaz zake zinaonekana .GAG atuonyeshe hizo pesa. anazodai zimepigwa zipo wapi?Sisi tunajua zilitumika kujenga miundo mbinu .Na pia kupeleka nchi uchumi wa kati.Hakuna pesa iliyopigwa.Magufuli alikuwa mnyoofu .GAG anaongea uongo kuwafurahisha baadhi ya wahuni.
 
Mimi sijaona Data yyt ya kiuchumi iliyotumika kwenye hiyo video zaodi narative.

Ku transfrm nchi inabidi uangalie overal economy performamce ikiambatana na data.

Hiyo clip ni sawa na maneno ya Msiba tafauti yamesemwa kwa kiingereza
Wewe ni kipofu, kama hata mjinga alielewa nchi iliingia uchimi wa kati amakufa ikarudi uchumi wa chini, uelewa wako ninashaka pengine mjinga ana nafuu
 
Transformed wakati hakuna hata kamradi kamoja kalimalizika?

Hao wangesema jinsi alianzisha sawa,by the way CAG anasema Miradi ya bil.500 plus ilianzishwa na haina tija ..

Sasa kwa hali hii sijui alitransfomu uchumi kivipi ikiwa hiyo miradi ni liability.
.
Mwisho hiyo video yote ni utopolo yaani inaongelea elimu ,huko kwenye madini hakuna statistics , kwenye uchumi hakuna waloposema uchumi ulikuwa kiasi gani na blaa blaa zingine..

Hata wale aliwaita wanyonge hakuna ambae maisha yake yaliimarika zaidi ya kudidimia.
CAG mnayemtengenezea vya kusema atashindwaje kusema ujinga?
 
Sio mabeberu hao, ni computer generated voice hata wewe cheusi dawa unaweza kutayarisha video ukatumia hiyo voice software ukasema ni mabeberu, uko nyuma sana wewe
 
Wapinzani wa Magufuri wameshindwa kazi,ndio maana wamekondisha watu kwenye mitandao wamwandike vibaya,ila nao wameshindwa,kwasababu wanaowatetea wako hand pafomanc.Magufuri kama ulikuwa sio fisadi au vyeti feki au mvivu hauwezi kumtukana Magufuri.
Mfyuuuu.na usikute Kuna mtu anakuita baba.pathetic
 
Mfyuuuu.na usikute Kuna mtu anakuita baba.pathetic
We mpuuzi tu,kwani kipi akijulikani?kuwa genge la Samia likiongozwa na makatani crop's,ndilo linaloongoza mashambulizi zidi ya Magufuri, lakini wenyewe amna wanachokifanya,tunaambiwa Magufuri alikuwa fisadi, sasa wao ambao sio mafisadi watuonyeshe maendeleo,tunataka kuona maendeleo sio maneno tu,mda wa maneno umekwisha tunataka kuona vitendo
 
Hii ni video imeandaliwa na mabeberu kwa hiari yao na kwa gharama zao wakielezea namna Hayati Magufuli alivyobadilisha uchumi wa Tanzania kufikia kumi bora Afrika na kuwa na hadhi ya uchumi wa kati ndani ya miaka 5 badala ya miaka 10 tuliyokuwa tumepangiwa na haohao mabeberu.

Video hii inathibitisha shombo za kina Mbowe,Zito, Lisu, Lema hazikumtikisa Magufuli akiwa hai na hazitaweza kumtikisa akiwa mauti.

Bange+shisha+ugoro =?
 
Hivi watu watu wanajua uchumi kweli ambao wanadai Magufuli aliharibu? Hakuna nchi yeyote Africa ukiachia Tanzania na Ethiopia ambapo uchumi wake uoikuwa Kwa 4.8% in 2020/21 kutoka a na janga la corona, nchi jirani mfano Kenya economy ili grow to negative Kwa sababu ya wao kujifungia, ni juhudi pekee za Magufuli na misimamo Imara iliyoifanya Tanzania kukua Kwa asilimia hiyo , otherwise Mama yenu angekuta tuko kwenye negative, wanapisema economy will expand or bounce back means now inatoka from 4.8% to 5% and above, Kuna nchi economy inabounce back from negative to 2% or 3% , ndio maana juzi Mwigulu alipokua ana toa taarifa za uchumi alisema Kuna nchi economy zao zili grow by negative lakini hawezi kuzitaja Kwa sababu ya kidiplomasia, hivyo Juhudi za Magufuli kujenga uchumi na kukua zilikuwa kubwa na ni uongo kusema Magufuli aliua uchumi.
 
Majizi tu ndio wanamsema Magufuri kuwa ameua uchumi,huku wamekuta tanesco kimejaa pesa,wamepata madaraka tu wakaanza kuingia mikataba ya kifisadi, wengine tunaona wakizunguka na hero copter huku wakijilipa mapadiem kibao,rais na kikosi chake chote wanaweza kukaa hotels za nyota tano kwa wiki nzima huku wakila kuku kwa mrija, Magufuri ameacha amewakusanyia pesa ndio maana Samia anafanya ziara za majuu wanavyotaka kwasababu ela ya kutanua hipo,hayo maneno ya Magufuri ameharibu uchumi ni watu wa Samia ili akishindwa waseme hata Magufuri mbona nae alishindwa.
 
Hivi mnajua huyu magufuli wenu aliharibu sana uchumi wa nchi kutokana na ufisadi mkubwa aliofanya?
Ni vyema mngekaa kimya Mama SSH ajenge uchumi mpya baada ya kuporomoka!
Sijakuelewa kabisa mjomba.JPM aliporomosha uchumi?Tuliingiaje uchumi wa kati? Juzi SSH kasema tumetoka uchumi wa kati tumerudi kuwa maskini.sasa hapo JPM anahusikeje kuporomosha uchumi wa Tz? Mzimu wa JPM unawatesa wengi!!
 
Back
Top Bottom