Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,374
- 23,011
Hawa watu ndio maana Magufuli aliamua kuwasomeshea watoto wao bure. Maana huyu naye alivyo zero kichwani unaweza kukuta ni mzazi wa mtu sehemu. š[emoji3][emoji3]
Hawa watu ndio maana Magufuli aliamua kuwasomeshea watoto wao bure. Maana huyu naye alivyo zero kichwani unaweza kukuta ni mzazi wa mtu sehemu. š[emoji3][emoji3]
Inaonekana hauna uelewa wa Mambo ya pesa.Kama GAG wenu wa mchongo ,amesema pesa imepigwa na JPM na anahukika anachosema ,angefanya auditing na kujua cash outflow ilienda wapi.Sasa bilion za pesa utaziweka wapi ,Zaid ya benk za nje.Ukiona mtu anamsingizia mtu kuwa kapiga mabilion ya pesa na hajui zilipo ujue ni uongo tu.Pesa apige yeye wewe uulize wengine kuwa kaweka bank gani? Kwani aliwaambia bank aliyoenda kuweka?
Hapa ndio ujiulize...Shida ya nchi yetu ni kwamba hatuna national agenda! Kama JPM ali transform uchumi wetu na akafa kabla hajafika alipotaka nchi iwe kwa nini walioshika wasiendeleze mazuri yake na kwa pace ileile?
Hii ni video imeandaliwa na mabeberu kwa hiari yao na kwa gharama zao wakielezea namna Hayati Magufuli alivyobadilisha uchumi wa Tanzania kufikia kumi bora Afrika na kuwa na hadhi ya uchumi wa kati ndani ya miaka 5 badala ya miaka 10 tuliyokuwa tumepangiwa na haohao mabeberu.
Video hii inathibitisha shombo za kina Mbowe,Zito, Lisu, Lema hazikumtikisa Magufuli akiwa hai na hazitaweza kumtikisa akiwa mauti.
Wewe ni mpuuzi tuHivi mnajua huyu magufuli wenu aliharibu sana uchumi wa nchi kutokana na ufisadi mkubwa aliofanya?
Ni vyema mngekaa kimya Mama SSH ajenge uchumi mpya baada ya kuporomoka!
Hii ni video imeandaliwa na mabeberu kwa hiari yao na kwa gharama zao wakielezea namna Hayati Magufuli alivyobadilisha uchumi wa Tanzania kufikia kumi bora Afrika na kuwa na hadhi ya uchumi wa kati ndani ya miaka 5 badala ya miaka 10 tuliyokuwa tumepangiwa na haohao mabeberu.
Video hii inathibitisha shombo za kina Mbowe,Zito, Lisu, Lema hazikumtikisa Magufuli akiwa hai na hazitaweza kumtikisa akiwa mauti.
Unfortunately unaemsemea hayupo na hata umoja Party hawawezi kumfanya kuwa mgombea maana anaoza saizi.š¬š¬Wapinzani wa Magufuri wameshindwa kazi,ndio maana wamekondisha watu kwenye mitandao wamwandike vibaya,ila nao wameshindwa,kwasababu wanaowatetea wako hand pafomanc.Magufuri kama ulikuwa sio fisadi au vyeti feki au mvivu hauwezi kumtukana Magufuri.
Kama beberu nani?Ukweli uko wapi? Mbona mabeberu yanayowalea huko ubelgiji ndiyo yanamsifia Magufuli
Will never happen..AtakAe simama na sera za Magufuli 2025 ndie Rais.
Wewe nachelea kukuona kama Sukuma gang member, unasema ni kazi ya CAG kufanya uchunguzi wa pesa zilipokwenda? Unajua majukumu ya CAG na mipaka yake kweli wewe? Then unamwita wa mchongo wakati aliteuliwa na huyo huyo Jiwe baada ya yule wa awali kitolewa kisa tu kamweleza ukweli juu ya upotevu wa 1.5tr. Ukweli wa CAG ulimponza kwani hakujua kuwa jiwe hakupenda kusikia ukweli juu wizi wake. Labda useme CAG wote wawili walikuwa wa mchongoInaonekana hauna uelewa wa Mambo ya pesa.Kama GAG wenu wa mchongo ,amesema pesa imepigwa na JPM na anahukika anachosema ,angefanya auditing na kujua cash outflow ilienda wapi.Sasa bilion za pesa utaziweka wapi ,Zaid ya benk za nje.Ukiona mtu anamsingizia mtu kuwa kapiga mabilion ya pesa na hajui zilipo ujue ni uongo tu.
Leta hoja yako kupinga yake badala ya kuja na kiroja. Mimi naongezea luwa alikuwa pia muuajiWewe ni mpuuzi tu
Umesahau na ile ya kila atakae tupinga tunamuuaWill never happen..
Kwamba Umoja Party watawaambia wapiga kura kwamba saizi hatutaajiti,tutapuuza kilimo,na tutapora matajiri pesa Ili tujengee miradi sio? [emoji23][emoji23][emoji23]..
Kwamba hatutasafiri nje kwa sababu sisi ni tajiri Sana and such upuuzi au kuna sera zingine tofauti na hizi?
Wapinzani wa Magufuri wameshindwa kazi,ndio maana wamekondisha watu kwenye mitandao wamwandike vibaya,ila nao wameshindwa,kwasababu wanaowatetea wako hand pafomanc.Magufuri kama ulikuwa sio fisadi au vyeti feki au mvivu hauwezi kumtukana Magufuri.
Ni singular kwa maana ya ki group. Nikimaanisha wanyonge na Sukuma gang ni one group and the rest ni another group.Hao wanyonge na sukuma gang ni singular au plural?
Nawe ni mpuuzi piaLeta hoja yako kupinga yake badala ya kuja na kiroja. Mimi naongezea luwa alikuwa pia muuaji