my dia kama umepata mtu wa kufanya n u had been diyng for it just do for love maisha yenyewe mafupi mpz,but kinga ni bora sana,dnt quote mez
Eh Pearl mamii umekwenda mbali!! But thanx sijampata na baso siamini kama nitajampata tena.
huyo utakayefanya nae atafanya for love pia???? nadhani hapo ndo panakuwaga pagumu mpaka mtu unanza kujiuliza swali la msingi la mtoa mada MJ1
Eh Pearl mamii umekwenda mbali!! But thanx sijampata na baso siamini kama nitajampata tena.
Twinuska!kwani wats love?a strong positive emotion of regard and affection;so kama zis is love zen this is it!
hahahha twinushka wake mtu dont mind me nimeshayazoea mamii. Cha muhimu ni kuwa life goes on with ma baby boy, namshukuru MUNGUMJ1 vipi tena hapo kwenye red mamaa?? (some broken hearts never mend but I believe yours will)
Si umesikia Masaki na Fidel wakilalamika kuwa huwa wanayeyushwa so nina amini kuwa sababu za sijajiandaa, niko juani n.k ni kwa sababu either wanaona bado ni mapema sana kukupa au wanahisi utakimbia lolh
My dia inategemea hata cku ya kwanza tu kama mazingira yanaruhusu(wengi watadhani kicheche)but it doesnt make any difference hata kama mkikaa miaka 10 at the end of the dei mta do 2,pple hawataki kusema ukweli but weeeengi wamefanya in less than a month time of friendship,yani watu wanakutana sehem wanakubaliana in 30mins maongezi yao utasema walikutana mwaka jana,kumbe wizi mtupu.tanzania bila ukimwi inawezekana
hahahha twinushka wake mtu dont mind me nimeshayazoea mamii. Cha muhimu ni kuwa life goes on with ma baby boy, namshukuru MUNGU
Wapendwa
Eti ni muda gani unafaa kupita kabla wapenzi wapya hawajaanza kukutana kimwili? Yaani ni couple mpya inatakiwa upite muda gani kabla kaka hajaomba game au dada hajakubali game?
Nauliza tu!!
Hivi kwa nn dhambi ya kuzini mnaiona kubwa sana kuliko zingine 9 maana amri za Mungu zipo 10 hata ukisema uongo ni dhambi sasa kwa nn mtu aliye zini na aliye sema uongo anaangaliwa kwa jicho baya aliye zini?
my dia kama umepata mtu wa kufanya n u had been diyng for it just do for love maisha yenyewe mafupi mpz,but kinga ni bora sana,dnt quote mez
Ninayoijua tamu kuliko zote ni kufanya bila date. Lakini hiyo inataka umakini wa mwanaume kukumbuka kuwa uwezekano upo, hivyo awe anatembea na zana. Na ndio maana naunga mkono 100% ile practice ya kuweka maboksi ya kondom katika zile corridor kwenye baadhi ya mabweni ya chuo.
kwani mkikulana haiwezekani relationship isi-work, na kila mtu akachapa lapa kivyake?Si umesikia Masaki na Fidel wakilalamika kuwa huwa wanayeyushwa so nina amini kuwa sababu za sijajiandaa, niko juani n.k ni kwa sababu either wanaona bado ni mapema sana kukupa au wanahisi utakimbia lolh
kama hayo ni mutual sawa......isije ikawa mmjoa ndo upande mmoja afu mtu aishie kusema...
'alinitumia, kaniharibia maisha yangu' istead of 'mlitumiana'....
hakuna hivyo nowdays Twinuska kila mtu kamtumia mwenzie bana,hizo ni za zamani
kama hayo ni mutual sawa......isije ikawa mmjoa ndo upande mmoja afu mtu aishie kusema...
'alinitumia, kaniharibia maisha yangu' istead of 'mlitumiana'....
Unataka ni - prove beyond reasonable dought au?
Hiyo sentensi kanichezea kisha kaniacha, kaniharibia maisha yangu huwa inanichekesha sana!
Masaki atajibu kwa ufasahaNgoma ya Chagulaga uwa inachezwa masaa mangapi?