How long should we take...

ahh mie cku ya 1 sihitaji kubembelezwa wala stori zako za nilikupenda sana sema tu cjui nini nanini, czitaki! 2kae 2pige tu stori wee, mbona kuna mengi ya kuongelea, ndio hapo nitakuona nunda au tunaendana.....

Hahahaha! stori? Hakuna muda wa stori dada. Ni kubembelezwa mpaka kieleweke.
 
Weweeee, kujuana kitu gani bana,
ukipanda kwenye dala2 kutokea ilala mpaka magomeni tayari mtu anashuka kwenye kituo sio chake. aseme hapana ili iweje?

wadada kuweni na principle hee: ukisema hapana mwanzoni, huko mbeleni huwezi sema ndiyo, lakini ukisema ndiyo unaweza kusema hapana baadae, NDIYO ya baadae inamfanya kidume aone kama wewe ni mavuno yake as amesotea kama mkulima anavyoandaa shamba na kungoja miezi kadhaa.
 
...Second, how long does it take for you guys kumwambia 'Dada nakupenda na kumaanisha hilo after seeing her?

after several dates,... si unajua wadada wengine ukimwambia nakupenda naye anakubandika swali unanipendea nini?!...

Enzi za 'unjuka' (form one) miaka ile nilimwangukia mmoja nikamwambia "nakupenda", akanijibu "haya!".... tangu siku hiyo sikumtongoza tena mwanamke mwingine kwa kutumia neno 'NAKUPENDA'...

vilifuatia vitendo tu mpaka atamke yeye "jamani wee kaka mimi nakupenda",... nami namwambia "alaa kumbeee...!"

je nanyi huwa mnachunguzaga kwanza au ukumwona tu unamwapproach then kumchunguza itakuja baadaye mkiwa ndani ya urafiki?

...uchunguzi lazima, unajitahidi kuangalia weak points zote za kuvamia kambi ya upinzani,...kuna wengine wana michongoma mikali, ukiingia hivyo hovyo utatoka na makovu ambayo daima utabaki unajiuguza...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom