How long can you last without sex?

inategemea jamani wengine tukiikosa one week tu yani akili inavurugika kazi aziendi kabisa
 
Well said my dear!!
It depends on the mood. Mi nafikiri uroho wa mtu na stamina ndo inamatter. Ila hapo kwenye score umesahau score ya moja bila na bila bila. Hizi score inamaanisha mechi lazima irudiwe siku hiyo hiyo.

Kwa mfano jana asubuhi kwangu ilikuwa bila bila bcoz nilikuwa nawahi kazini nikaomba kuingiziwa kichwa tu. Leo asubuhi nimerudia tena kuomba kichwa na bado nimetoka bilabila so kesho tena asubuhi nitaomba kichwa ili irudiwe jumamosi asubuhi na hapo score lazima iwe moja moja au mbili moja ushindi kwa mume.

Mechi hizi bwana!!

Duh!
icon10.gif
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia wamba kuna ushahdi wa kisanyansi kwamba mtu akiwa na stress anaweza kuindoa aidha kwa kusikiliza muziki anaupenda au kwa kupafanya good sex! Pia inasemekana kwamba kuangalia matiti ya mwanamke ni dawa tosha kabisa ya kuondoa stress!!! :) Mtanisadia wenye fani zenu.
 
Pia inasemekana kwamba kuangalia matiti ya mwanamke ni dawa tosha kabisa ya kuondoa stress!!! :) Mtanisadia wenye fani zenu.

Hii kweli mm nikiangalia wowowo tu stress zote kwisha kama ulikuwa unaendesha kalio kubwa likakatisha road lazima upoteze mwelekeo kwa mfadhaiko maana inakuwa balaa.
 
yeeeeeeeeeeeh ooooooooooooo nooooooooooo
Kuna mtu aliwahi kuniambia wamba kuna ushahdi wa kisanyansi kwamba mtu akiwa na stress anaweza kuindoa aidha kwa kusikiliza muziki anaupenda au kwa kupafanya good sex! Pia inasemekana kwamba kuangalia matiti ya mwanamke ni dawa tosha kabisa ya kuondoa stress!!! :) Mtanisadia wenye fani zenu.
 
Well said my dear!!
It depends on the mood. Mi nafikiri uroho wa mtu na stamina ndo inamatter. Ila hapo kwenye score umesahau score ya moja bila na bila bila. Hizi score inamaanisha mechi lazima irudiwe siku hiyo hiyo.

Kwa mfano jana asubuhi kwangu ilikuwa bila bila bcoz nilikuwa nawahi kazini nikaomba kuingiziwa kichwa tu. Leo asubuhi nimerudia tena kuomba kichwa na bado nimetoka bilabila so kesho tena asubuhi nitaomba kichwa ili irudiwe jumamosi asubuhi na hapo score lazima iwe moja moja au mbili moja ushindi kwa mume.

Mechi hizi bwana!!

haya majaribu mengine!
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia wamba kuna ushahdi wa kisanyansi kwamba mtu akiwa na stress anaweza kuindoa aidha kwa kusikiliza muziki anaupenda au kwa kupafanya good sex! Pia inasemekana kwamba kuangalia matiti ya mwanamke ni dawa tosha kabisa ya kuondoa stress!!! :) Mtanisadia wenye fani zenu.

mpwa hili kweli kabisa
 
usiku mmoja kwangu ni kama miaka MIA MOJA!i can maximum last for one day

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu Mkuu....Wengine hata akili inashindwa kufanya kazi sawasawa akikosa majambo yake.
 
Binamu we acha tu, yaani huchelewi kujikuta vidole vimeteleza ukatuma PM kwa dada wa watu!!! ........ :)
icon10.gif

halafu JF isivokuwa na adabu ukakuta the opposite..ndo maana mi nimeamua PM situmi kabisa tutabanana hapa hapa front page:D:D
 
hahaaa B hujapata stress wewe eeeh???
u will make A gud use of PM afu utaniambia tena yakikukuta
 
kwa wote ambao hamkunielewa, nimesema for as long as neccessary nikimaanisha kuwa, mimi kama mke wa mtu, naweza kukaa bila hiyo kitu kwa muda wote ambao my dia hubby hayupo karibu na mimi, be it i week, one month, one year and even ten to 20 years. Na pia kwa wakati wote ambao nadhani haiwezekani kufanya hivyo kwa sababu ambazo haziwezi kuzuilika. sasa mmeelewa? hivi walimu wenu walikuwa wanalipwa kiasi gani kwa kufundisha watotro wazito hivi?

Mzenj amesema nikugongee thanks for ur useful post!

Thanks yangu ni kwa niaba!
 
hahaaa B hujapata stress wewe eeeh???
u will make A gud use of PM afu utaniambia tena yakikukuta

hhahaha..B unajua mi niko stress-free. kuna kipi nimekosa

nikimtaka B wangu wa ukweli yuko hapa,

Mrs wangu ako hapa,

ma'mdogo wenu ako hapa,

stress wapi na wapi bana,,,,,PM sigusi kabisaaaa....(ila wengine wanatutia majaribuni kama huyo Caren..)
 
Hizo notes zinamfaa Kaizer na Carmel!

Dah! Itabidi niongee na Meneja wa Club Etiennes a do ze nidful! Kuwahi sana home unaweza pangiwa zamu ya kuosha vyombo!
Asante mume wangu kwa kuwahi home kila siku, najua unasoma hapa. usiwasikilize hawa mabinamu zangu hapa mpenzi.
 
hhahaha..B unajua mi niko stress-free. kuna kipi nimekosa

nikimtaka B wangu wa ukweli yuko hapa,

Mrs wangu ako hapa,

ma'mdogo wenu ako hapa,

stress wapi na wapi bana,,,,,PM sigusi kabisaaaa....(ila wengine wanatutia majaribuni kama huyo Caren..)

hahaaaaaaaaa, B na wewe umenitia majaribuni hii rangi ulotuma hapo
(i hope sijaingia deep kivile) au???
 
Back
Top Bottom