How is sunday? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How is sunday?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ruhazwe JR, Jul 1, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ni jumapili tulivu kwangu,bila shaka hata kwako pia.
  • Nikiwa nawaza na kuutafakari wema wa Mungu,kwa kazi yake na baraka zake tele juu ya maisha yangu haya ya kujumlisha na kutoa.
  • Nikiwa namwambia Mungu bado namgoja najua siku yangu haijafika bado,
  • Nikiwa nagundua kwa nini marafiki na ndugu hunikimbia wakati ninapokua na dhiki.
  • Nikiwa nagundua kwa nini Marafiki na ndugu hujitenga na mimi nisiye kuwanacho pale wapatapo.Ni jumapili yangu nakata kukuona ee mwenyezi Mungu,wewe rafiki yangu wa shida na raha
   
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  Amen.... ubarikiwe... Je leo umeenda church?
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nimeenda,na nimemuomba Mungu anikupe wewe na hapa nimejituriza ndani nataraji kutokutoka nje leo mpaka kesho,karibu Tegeta najua upo dar
   
 4. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  amina mtumishi
   
 5. Q

  Qixima mQiqa Senior Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wengine hata church hatujaenda leo
   
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haijalishi hujaenda kanisani,hajalishi wewe ni wa imani nyingine!

  Swala ni:
  • Ni nani akupaye ulinzi wa kweli dhidi ya magonjwa,wanyanganyi wa uhai,wachawi nk
  • Umewai kuwa kwenye hadtime ukawaona marafiki wa kweli,wakawa na wewe ktk kipindi chote kigumu,bila majungu bila kukukwepa
  • Umewahi kujiuza ni nani akuongozae kwa kila jambo ufanikiwalo,lingine hata hukustaili kupata lakin ukapata wewe na wenye sifa wakaachwa?
  • Narudia tena umewai kufulia ukaona ni nani rafiki wa kweli?
  No one like God,He is in our life everyady,everbody know.Whatever the situation is,he will never ever apart you,for better and worse
   
 7. Q

  Qixima mQiqa Senior Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ubarikiwe mtumishi
   
 8. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Eimeen.
   
 9. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ooh!...Mungu,ni wewe peke yako uliyoyashika maisha yangu,wote watanikimbia lakini wewe utakuwa nami wakati wote
   
 10. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Kwangu ni jumapili ila nina huzuni nimekutana na wananchi kama 9 wakiwemo kina mama wawili wakilia sana na mmoja Wa wanaume alikuwa amebeba maiti ya mtoto Wa Kama miaka 3, niliumia sana moyoni mwangu, katika kudadisi mmoja akanieleza mtoto aliugua kifua kinabana akampeleka hospitali ya wilaya alipewa karatasi akanunue baadhi ya dawa na nyingine alipewa, daktari akasema mtoto anahitaji oxygen ila hapo hospitali hawana, katika pilika za hapa na pale kuokoa maisha, mtoto alifariki... It really hurts!!!
   
 11. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  measkron ,taarifa hii imeniuma sana,tena sana si kawaida,...dah!...nashindwa niseme nini i feel to cry...moyo umeniuma ghafla,nimepata picha kulingana na maelezo yako,kiukwel nimeumia machoz yamedondoka,hasa pale mtoto mdogo anapo poteza maisha.Mungu iweke roho ya marehemu mahara pema pepon Amina
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...