How i met your mother

How i met your mother

hahahaa leo nimelala na shem darling wangu atoto:tonguez:

Mweeeeeh nawewe umeanza kunisingizia jamani!! Dada akinifukuza ntakwenda kuhemea wapi mwenzio!
 
Last edited by a moderator:
Miss you too

Kilimo cha 'ulezi' kimenikip bize sana. Wee ushaanza kuvuna?

Ah sanaaaaa !
Ila msimu huu kiboko,magunia tita tita!
Nahs bila kukodisha sitaweza kumaliza shamba !
Inabid tu niwe na tractor,jrmbe la plau,bila kusahau mabomba ya kununyizia dawa kwa ndege !
 
Habarini wadau,

Naitafuta hii TV show, kwa yeyote mwenye nayo naomba mwongozo wa jinsi ya kuipata. Hata kwa kuinunua.
Hususani kuanzia Season 5 na kuendelea.

Natanguliza shukrani

Mapendo
TANMO


FInally, leo nimemaliza ku-download SEASON 09 yote!

 
hahhah naona kuna kitu unataka kuninyima
anyway nitakusalimia tu kama umekusudia kuninyima

Niamkie kwanza halafu nitakupa chote.

TANMO

Kama upo dar es salaam kesho njoo hapa maeneo ya moroko , ukiwa na flash kubwa au external hdd , ila itakubidi uniachie walau na kapesa ka soda , asante sana na karibu sana ,

kwa maelezo zaidi ni pm

Well, waiting for your response Bro.

Niambie wewe sasa
Basi otea kwanza.

Hivi ni taaamu?
Otea.

kickass torrent is a torrent site na sio application TANMO
....maana nimeitafuta kupitia google nikapewa option ya kui-download.
Barkiwa sana Mkuu.

Aisee, unaweza kuua ....
Kuua kiumbe gani na kiaje Arifu?

weweee tema mate chini........ kipindi hiko mbona nilikua mkubwa
Ulikuwa bado katotoo Bana.
Hujambo lakini?
You're missed.

FInally, leo nimemaliza ku-download SEASON 09 yote!


Well, norkim1991 akinizungua nitakutafuta Bwashee..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom